Tumia Njia hii..

Punguza Uzito na Kitambi HARAKA, Kishua

Hakuna haja ya kushinda gym au kuhangaika na diet..

Najua...

✅ Umechoshwa na uzito wako na kitambi kimekulemea

✅ Unamaumivu ya mgongo, magoti, unakosa usingizi, ukitembea kidogo unachoka

✅ Umepoteza umbo lako, nguo nzuri hazikukai

✅ Hedhi yako imevurugika, uke mkavu huna hisia za tendo

✅ Mwanaume usiku unadonoa donoa unaishia kupata aibu

Unatamani kupungua lakini Haupungui Kwa Sababu Hizi..

Unaamini mazoezi tu yatakusaidia..

.. tafiti zinaonesha mazoezi yanachangia sio zaidi ya 15% kuchoma mafuta.

Hii ni kama kutumia kisu kwenye vita ya bunduki.

Kazi kubwa ya mazoezi ni kuimairisha misuli wakati unapungua

Unadhani kupunguza kula kutakusaidia kupungua..

Ukiona umenenepa au una kitambi kuna makosa unayafanya kwenye ulaji. Hata hivyo.. kupunguza kula ni makosa…

Huwezi kushindana na hamu ya kula. Utajihidi lakini siku ukiacha unanenepa mara mbili..

Unatakiwa kula vya kutosha chakula sahihi na kwa muda sahihi.. basii.. hakuna kujitesa wala kushinda unakula nyama na maziwa..😂😂😂

Njia ya Haraka, Salama Bila Kuhangaika ni Hii...

Naitwa Yusufu M. Filemon, MD (maarufu Dr Nature)

Ninauzoefu wa miaka 7 kuwasaidia watu kama wewe kupunguza uzito na kitambi kiafya milele..

Natumia Njia Gani?…

Nafundisha elimu bora ya..

“Mtindo wa maisha”

Sio Diet ya kunywa kunywa vitu na kukwepa wanga

Pili..

Nakupatia product ya asili (virutubisho) ili mwili wako uchome mafuta haraka…!

Hii Product inaitwa..

"Easy Chopper"

easy chopper

Easy Chopper ni fomula maalumu ya virutubisho asili vinavyosaidia mwili kuchoma mafuta kama wazimu..

Mafuta yanapochomwa inakuwa ndio kama chakula kinachokupatia nguvu

..hivyo…

Unakuwa hauna hamu ya kula mara kwa mara.

Sio Chungu wala Sio ya Kuharisha

Faida Utakazopata Kwenye Easy Chopper

✅ Itakupunguzia njaa za mara kwa mara … kwahiyo huna haja ya kujinyima chakula au kufanya diet za kushinda njaa.

✅ Itakusaidia kuondoa KITAMBI .. utakuwa na mwonekano mzuri, utavaa zile nguo zako nzuri na utavutia sana..

✅ Itakupunguzia uzito uliozidi utakuwa mwepesi, usiye na maumivu, ganzi unatalala vizuri  na kuepuka kuonekana mzee..

✅ Itakusaidia kuondoa adha za tumbo kama vidonda vya tumbo na shida za gesi hivyo utakuwa unakula chakula bila masharti

✅ Itakusaidia ku-balance homoni kwahiyo utapata hedhi kwa mpangilio zisizo na maumivu makali  wala damu nyingi, hamu ya tendo la ndoa itarudi, ukavu ukeni utaondoka ... na kwa mwanaume nguvu za kiume zitarudi.

Hivyo itakusaidia kujenga ndoa yako

✅ Inapunguza maumivu ya mwili, maumivu ya magoti na mgongo.

✅ Inapunguza kolestro na mafuta mabaya kwahiyo itakukinga na magonjwa ya moyo na kiharusi ‘stroke‘.

“EASY CHOPPER ni tofauti na product zingine za kupunguza uzito kwa sababu hii SIO CHUNGU wala SIO YA KUHARISHA pia imetengenezwa na mimea tiba asili haina chembe ya KEMIKALI…”

Umetumia Dawa Nyingi hazijakusaidia?..

Product nyingi zinatolewa na watu ambao sio wataalamu au wanauza ambazo hawajatengeneza wao..

Sio rahisi kukuhakikishia matokeo..

Tofauti na mimi daktari ambaye nimeitengeneza product mwenyewe.

Nina hakika na ninachokuambia..

“Hivi Kweli Program Hii Itafanya Kazi Kwako?”

Ona matokeo ya wengine waliotumia..

Janeth Ndegeulaya wa Bagamoyo ameondoa kitambi na kupungua kilo 21 kwa miezi 4

Ungependa na Wewe?
Leo Nakupa Zawadi..

Yaani…

Bei ya kawaida ni..

➡️ Easy Chopper ni Tshs 90,000

➡️ Support Group ni Tshs 100,000/ mwaka

Kupata support na mafunzo zaidi

➡️ eBook (Kitabu) ya ratiba ya chakula ni Tshs 20,000

Jumla Ulitakiwa Kulipia Tshs 210,000

Lakini leo Utapata vyote kwa..

.. “Tshs 70,000 Tu”  

..Okoa Tshs 140,000..

+ Utachangia gharama ya delivery toka Kinyerezi, Dar es salaam

Muda wa OFA uliobaki…

  • 00Siku
  • 00Masaa
  • 00Dakika
  • 00Sekunde

…. Unalindwa na Hii GUARANTEE hapa chini…

“Ikitokea hujaona matokeo yoyote ndani ya siku 30 licha ya kufuata maelekezo yangu.. basi nitumie ujumbe WhatsApp “0767-759-137” ili nikurudishie pesa yako bila kukuuliza swali lolote… (kwahiyo hakuna RISK yoyote upande wako)

Aidha uendelee kuhangaika na kitambi na uzito mkubwa huku ukihangaika na magonjwa kama yote au uwahi OFA sasa hivi..

OFA Inaisha Ndani ya…

  • 00Siku
  • 00Masaa
  • 00Dakika
  • 00Sekunde

P.S. Ofa Hii Ikipita Haitajirudia Tena

Nina uhakika unajiuliza maswali haya ili kuwa na UHAKIKA zaidi ..

1). Je, nikipungua sitaongezeka tena?

Jibu: Kwenye Program utajifunza mtindo bora wa maisha ambao ni kinga ya uzito mkubwa na kitambi

2). Je, Inachukua muda gani kupata matokeo?

Jibu: Matokeo utaanza kuyaona ndani ya siku 7, utaanza kujisikia mwepesi na hamu ya kula kupungua. Ndani ya mwezi utapungua kati ya kilo 2 hadi 10 na kitambi kitaanza kuyeyuka.

3). Je, mjamzito na anayenyosha anaruhusiwa kutumia Easy Chopper?

Jibu: Mjamzito HARUHUSIWI kutumia. Anayenyonyesha ambaye mtoto wake ameanza kula vyakula vingine anaruhusiwa

4). Je, nawezakutumia easy chopper kama natumia dawa zingine za hospital?

Jibu: NDIO. Easy chopper ni virutubisho havina mwingiliano na dawa zingine za hospital

5). Je inachukua muda gani kupata mzigo nikishalipia?

Jibu: Utaipata dawa yako ndani ya masaa 24 baada ya kulipia ukiwa ndani ya Tanzania. Nina wasaidizi baadhi ya mikoa Tanzania wanaonisaidia kukutumia kwa wakati.

6). Je, ofisi yako iko wapi?

Jibu: Ofisi yangu ipo Kinyerezi, Dar es Salaam.

7). Je, Dawa haina madhara baadaye?

Jibu: Easy Chopper imetengenezwa na viungo na mimea tiba haina madhara yoyote kwa baadaye. Zaidi inakusaidia kuwa na afya njema.

Muda wa OFA Uliobaki…

  • 00Siku
  • 00Masaa
  • 00Dakika
  • 00Sekunde

Jinyakulie OFA Sasa hivi..

Chukua Hatua Sasa hivi kabla OFA Haijakupita..!

P.S: Zimebaki nafasi 12 tu kwa bei ya OFA!

Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako..

Dr Nature

Muda wa Ofa Uliobaki..

  • 00Siku
  • 00Masaa
  • 00Dakika
  • 00Sekunde

Chukua hatua SASA HIVI…