Punguza Uzito & Kitambi SUGU Ukiwa Umelala Kwa Fomula Maalumu

….. “Tayari Imeaminiwa na Zaidi Ya Wanaume na Wanawake 800+…”

 • Je, Ungependa kutokomeza kabisa kitambi na uweze kuvaa nguo zako unazotamani  ukiwa na shepu nzuri?

 • Umechoshwa na SHIKAMOO nyingi ukionekana  mzee kuliko umri wako?

 • Umechoshwa au huwezi kufanya mazoezi, diet na dawa za kuharisha na kutapeliwa?

 • Ungependa nikuoneshe mbinu ya kufanya hivyo kiafya huku ukitibu vidonda vya tumbo, shida ya magoti na ku-balance homoni?

Hi, 

Jina Langu ni Yusufu M Filemon, MD maarufu kama Dr Nature..

Naishi Moshi, Kilimanjaro – Tanzania

Nimepata shahada ya udaktari chuo cha Kilimanjaro Christian Medical University College kilichopo Moshi, Kilimanjaro .. Na kuhitimu mwaka 2021..

Toka hapo nimejikita zaidi katika “tiba kwa mtindo wa maisha”.

Baada ya kukutana na wagonjwa wengi, nilikutana na changamoto kubwa, kuwa magonjwa mengi waliyonayo kama

 • Presha
 • Kisukari
 • Maumivu ya magoti
 • Uchovu
 • Kuvurugika kwa homoni nk
 • Kukosa usingizi

Walivipata kwa sababu ya uzito mkubwa..

Hivyo…

Katika kutafuta huku na kule mbinu rahisi kuwasaidia wateja wangu..

Nilikutana na daktari bingwa wa tiba kwa mtindo wa maisha anaitwa Dr. Michael Greger kutoka Marekani..

Ana taasisi yake yenye watafiti 19 inaitwa  Nutrition Facts ambalo limejikita katika kuchambua tafiti za lishe bila kutegemea misaada au matangazo ya makampuni.

Hiyo ni muhimu ili kuepuka kununuliwa na kupindisha ukweli wa sayansi ya lishe na mtindo wa maisha.

Nikajifunza kwa umakini mkubwa. Mwishowe…

….nikaibuka na silaha ya kuchoma mafuta kama wa wazimu kwa kanuni maalumu ya virutubisho niliyoiita …..

"Easy Chopper"

easy chopper

Easy Chopper ni virutubisho asili vinavyosaidia mwili kuchoma mafuta kama wazimu..

Mafuta yanapochomwa inakuwa ndio kama chakula kinachokupatia nguvu

..hivyo…

Unakuwa hauna hamu ya kula mara kwa mara.

Sio Chungu wala Sio ya Kuharisha

Na Hivi Ndivyo Utakavyonufaika Kama Utaungana na wengine Kama Wewe Zaidi ya 800+ Wanaotumia ”EASY CHOPPER”…

 1. Itakupunguzia njaa za mara kwa mara … kwahiyo huna haja ya kujinyima chakula au kufanya diet za kushinda njaa.

 2. Itakusaidia kuondoa KITAMBI .. utakuwa na mwonekano vizuri, utavaa zile nguo zako nzuri na utavutia sana..

 3. Itakupunguzia uzito uliozidi utakuwa mwepesi, usiye na maumivu, unatala vizuri  na kuepuka kuonekana mzee..

 4. Itakutibu vidonda vya tumbo na shida za gesi hivyo utakuwa unakula chakula bila masharti

 5. Itakusaidia ku-balance homoni kwahiyo utapata hedhi kwa mpangilio zisizo na maumivu makali  wala damu nyingi, hamu ya tendo la ndoa itarudi, ukavu ukeni utaondoka ... na kwa mwanaume nguvu za kiume zitarudi.

  Hivyo itakusaidia kujenga ndoa yako

 6. Inaboresha mwonekano wa ngozi yako kwahiyo utaonekana mwenye sura nzuri na kuvutia.

 7. Inasaidia kutibu ganzi kwenye miguu na mikono.

 8. Inatibu maumivu ya mwili, maumivu ya magoti na mgongo.

 9. Inasaidia kutibu mzio ‘allergy’ na kupunguza dalili zake.

 10. Inaongeza kinga ya mwili na kutibu maambukizi kama vikohozi na mafua, cystitis na UTI sugu

 11. Inapunguza kolestro na mafuta mabaya kwahiyo itakukinga na magonjwa ya moyo na kiharusi ‘stroke‘.

 12. Inaondoa Uric Acid na kutibu Gout hata kama ni sugu

“EASY CHOPPER ni tofauti na dawa zingine za kupunguza uzito kwa sababu hii SIO CHUNGU wala SIO YA KUHARISHA pia imetengenezwa na mimea tiba asili haina chembe ya KEMIKALI… (0% Chemical)”

“Hivi Kweli Dawa Hii Itafanya Kazi Kwako?”

Ona matokeo ya wengine waliotumia hii dawa..

Janeth Ndegeulaya wa Bagamoyo ameondoa kitambi na kupungua kilo 21 kwa miezi 4

Bei ya Easy Chopper

Bei ya kopo 1 la Easy Chopper ni  “Tshs 75,000″…

Lakini…

Wiki iliyopita nilipata OFA  ya material ya kutengenezea dawa, nikaona wiki hii nitoe OFA na mimi nikubariki..

Ofa hii ikipita utakuwa umekosa nafasi kubwa sana.

Badala ya kununua kopo 1 kwa Tshs 75,000 utapata..

Kopo 1 Kwa “Tshs 60,000 Tu”  Badala ya Tshs 75,000

Makopo 2 kwa “Tshs 100,000 Tu” Badala ya Tshs 150, 000 

Makopo 3 kwa “Tshs 135,000 Tu” Badala ya Tshs 225,000

Muda wa OFA uliobaki…

 • 00Siku
 • 00Masaa
 • 00Dakika
 • 00Sekunde

Chukua Hatua Sasa hivi kabla OFA Haijakupita..!

Usijali kuhusu gharama za delivery ofisi yangu itakutumia BURE! popote Tanzania..

Jinsi ya kutumia dawa hii ni rahisi sana kwani unakunywa kama chai asubuhi na jioni kabla hujala…

Kopo 1 utakunywa kwa mwezi 1.. kopo 1 linapunguza kati ya kilo 2 hadi 10″

Ukinunua kwa OFA leo..
Basi Utapata Hizi BONASI Hapa Chini Zenye Thamani ya Tshs 35,000  BURE Kabisa..

BONASI #1: Utaungwa BURE Kwenye Group la Whatsapp kwa ajili ya kupata masomo na usaidizi… (Badala ya kulipia Tshs 30,000 kwa mwezi)

BONASI #2: Nitakupatia BURE mpangilio wa lishe bora  namna ya kupangilia CHAKULA chako kwa namna itakayokupatia matokeo ya ajabu… (Badala ya kulipia Tshs 5,000)

 • 00Siku
 • 00Masaa
 • 00Dakika
 • 00Sekunde

…. Unalindwa na Hii GUARANTEE hapa chini…

“Ikitokea hujaona matokeo yoyote ndani ya siku 30 za kuanza dawa… basi nitumie ujumbe WhatsApp “0767-759-137” ili nikurudishie pesa yako bila kukuuliza swali lolote… (kwahiyo hakuna RISK yoyote upande wako)

Aidha uendelee kuhangaika na kitambi na uzito mkubwa huku ukihangaika na magonjwa kama yote au uchukue dawa uwe kijana tena asiye na magonjwa .. chaguo ni lako!

OFA Inaisha Ndani ya…

 • 00Siku
 • 00Masaa
 • 00Dakika
 • 00Sekunde

P.S. Kama nilivyokuambia nimetoa OFA kwa sababu ya ofa ya material niliyopata wiki iliyopita.. Ikipita jumapili bei itakuwa ni  Tshs 80,000 kwa kopo… Kwahiyo lipia SASA HIVI ili uepuke gharama za ziada!

Bado Upo..?

Nina uhakika unajiuliza maswali haya ili kuwa na UHAKIKA zaidi wa dawa hiii… si ndio?

1). Je, nikipungua sitaongezeka tena nikiacha dawa?

Jibu: Dawa inakusaidia kufikia lengo lako kwa kuchoma mafuta. Hata hivyo dawa sio chanjo, kama ukishapungua ni vema kujifunza mtindo bora wa maisha ili kutunza matokeo yako. 

2). Je, Inachukua muda gani kupata matokeo?

Jibu: Matokeo utaanza kuyaona ndani ya siku 7, utaanza kujisikia mwepesi na hamu ya kula kupungua. Ndani ya mwezi utapungua kati ya kilo 2 hadi 10 na kitambi kitaanza kuyeyuka.

3). Je, Nitatumia kopo ngapi hadi kufikia lengo langu?

Jibu: Idadi ya makopo utakayotumia yanategemeana na lengo lako. Matokeo yanatofuatiana kulingana na mwitikio wa mwili wako na mtindo wako wa maisha..

 • kupunguza kilo chini ya 10 utatumia kopo 1-2.
 • kupunguza kilo 20 au kitambi kidogo utatumia makopo 2 hadi 3
 • Kupunguza kilo zaidi ya 20 au kitambi kikubwa utahitaji makopo 3 hadi 4

4). Je, mjamzito na anayenyosha anaruhusiwa kutumia Easy Chopper?

Jibu: Mjamzito HARUHUSIWI kutumia. Anayenyonyesha ambaye mtoto wake ameanza kula vyakula vingine anaruhusiwa

5). Je, nawezakutumia easy chopper kama natumia dawa zingine za hospital?

Jibu: NDIO. Easy chopper ni virutubisho havina mwingiliano na dawa zingine za hospital

6). Je inachukua muda gani kupata mzigo nikishalipia?

Jibu: Utaipata dawa yako ndani ya masaa 24 baada ya kulipia ukiwa ndani ya Tanzania. Nina wasaidizi baadhi ya mikoa Tanzania wanaonisaidia kukutumia kwa wakati.

7). Je, ofisi yako iko wapi?

Jibu: Ofisi yangu ipo Soweto-Moshi, Kilimanjaro.

8). Je, Dawa haina madhara baadaye?

Jibu: Easy Chopper imetengenezwa na viungo na mimea tiba haina madhara yoyote kwa baadaye. Zaidi inakusaidia kuwa na afya njema.

Muda wa OFA Uliobaki…

 • 00Siku
 • 00Masaa
 • 00Dakika
 • 00Sekunde

Jinyakulie OFA Sasa hivi..

Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako..

Dr Nature

Muda wa Ofa Uliobaki..

 • 00Siku
 • 00Masaa
 • 00Dakika
 • 00Sekunde

Chukua hatua SASA HIVI…

Share
Scroll to Top