Choma Kitambi na Hadi 10kg Kwa Siku 30 Bila Kuacha Wanga Wala Kushinda Njaa

…”Tayari wanaume na wanawake 7,989+ wamefanikiwa”..

Je, kitambi kimekuganda unatamani kukiondoa bila mashart magumu ya diet au kushinda gym?

Uzito mkubwa unaokuletea

  • maumivu ya magoti na mgongo, ganzi miguuni
  • presha, kisukari
  • vidonda vya tumbo
  • Unaonekana vibaya unakosa kujiamini

Kama umejibu Ndio..  basi soma hadi mwisho ujumbe huu ni kwa ajili yako..

dr nature

Hi, 

Jina Langu ni Yusufu M Filemon, MD maarufu kama Dr Nature..

Naishi Moshi, Kilimanjaro – Tanzania

Ni Medical Doctor, Homeopathist na Naturopathist..

…”Ninawasaidia watu kupunguza uzito na kitambi milele bila kujitesa.”

Ndani ya Sekunde 60 zijazo na wewe utafahamu jinsi ya kupata matokeo kama haya hapa chini waliyopata wengine..

Janeth Ndegeulaya

…Imenigharimu Zaidi ya Tshs Milioni 4 Kwa Miaka 2..

.. kupata mbinu za uhakika za kuchoma mafuta ya ziada  zinamfaa Mtanzania..

Nilinunua kozi, vitabu na kulipia madarasa ikiwa ni pamoja na majaribio binafsi ili nigundue njia sahihi..

Njia hizi tayari zimewasaidia zaidi ya watu 7,989 kupungua uzito kiafya na kutibu magonjwa mengi.

Hatimaye…

Nikaweza kutengeneza mfumo wangu wa maajabu ambao kila anayeufuata anajuta kwanini hakufahamu mapema.

Mbinu hizi unaweza ukazitumia tena bila gharama kubwa wala kujitesa kama wataalamu wengine wanavyofanya.

 

Nimekuandikia yote kwa lugha rahisi kwa vitendo ndani ya “eBook” yangu mpya inaiyoitwa..

— Bila Kuacha Wanga Wala Kushinda Njaa, Punguza Hadi 10kg Kwa Siku 30″ ….

eBook ni …Kitabu Cha Kusoma Kwenye Simu au PC...

Una-download halaf unasoma kwenye simu au kompyuta yako.

Sio lazima uwe online kusoma ukisha download..

Na Hivi Ndivyo Utakavyonufaika Kama Ukisoma eBook Hii..

1. Sababu 15 Kwanini Upunguze Uzito HARAKA Iwekanavyo ..

(Okoa Tshs. Milioni Saba Kufanyiwa Upasuaji wa Goti kwa kufanya nilichoandika Ukurasa wa 7)

2). Jinsi ya Kujua Uzito Unaotakiwa kwa kufanya kitu kimoja tu .. (Ukurasa wa 19)

3). Makosa 6 Yanayofanywa na Asilimia 80 Ya Watu Kwenye MAZOEZI Ndio maana Hawapungua Na Jinsi ya Kuyaepuka … Ukurasa #26

4). Jinsi ya Kuchoma Mafuta Kwa Kasi Mara Mbili BILA kufanya CHOCHOTE…….. Ukurasa #35


5). Njia BORA Kuondoa Kitambi SUGU ambacho kihakisikii diet wala mazoezi…… Ukurasa #39

6). Bomu la N.Y.U.K.L.I.A Kuchoma Mafuta Kama Wazimu …. (ukurasa #48)

7). RATIBA ya Chukula Kwa Siku 21 na Jinsi Ya kuandaa …. (Ukurasa #88)

8). Jinsi ya Kuchoma Mafuta Kama Wazimu Ukiwa Umelala … (Ukurasa #98)

“Kitabu “eBook” Ni rahisi Kusoma, Inaeleweka Na Kila Mtu Anaweza Kufuata Maelekezo Na Matokeo Ni Hakika”..

“Hivi ni Kweli Hiki Kitabu Kitakusaidia?”

Ona matokeo waliyopata wengine waliosoma hiki kitabu..

Huenda umehangaika sana na umetumia pesa nyingi kufanya kila unachoambia kinasaidia..

Naelewa…

Hii eBook ingefaa hata ningeuza kwa bei ya gauni

“tshs 40,000.”

Lakini mara zote huwa nauza kwa nusu yake yaani..

Tshs 21,000.

Lakini…

Leo napokea wanafunzi wapya wanaotaka kujifunza ..

Najua na wewe inawezekana ndio tunafahamiana kwa mara ya kwanza.

Basi…

Ninakupa OFA, ushindwe wewe tu.

Na OFA hii ni kwa watu 25 tu wa kwanza

 (nafasi 6 zimechukuliwa nilipo-share status).

Badala ya kununua kitabu Kwa 

Tshs 21,000 utakipata kwa..

…”Tshs 10,000 Tu”  Badala ya Tshs 21,000

NA

Mamia ya followers wangu wanapitia Hii Page angalia usije ukajilaumu kukosa hii OFA

Nafasi zimebaki 19 tu (LIMITED)

Muda wa OFA uliobaki…

  • 00Siku
  • 00Masaa
  • 00Dakika
  • 00Sekunde

kama Hiyo haitoshi..

Ukinunua Kitabu Sasa Hivi..
Basi Utapata BONASI Hii Yenye Thamani ya Tshs 20,000  BURE Kabisa..

BONASI: NItakuunga kwenye group la whatsapp ili ukutane na wanafunzi wenye lengo kama lako.

Pia uendelee kujifunza na kupata majibu ya maswali yako.

.. (ulitakiwa kulipia 20,000)..

  • 00Siku
  • 00Masaa
  • 00Dakika
  • 00Sekunde

…. Unalindwa na Hii GUARANTEE hapa chini…

“Ikitokea umesoma kitabu hujapenda niliyoandika humo ndani ya siku 7 … basi nitumie ujumbe WhatsApp “0767-759-137” ili nikurudishie pesa yako bila kukuuliza swali lolote… (kwahiyo hakuna RISK yoyote upande wako)

Na

Ikitokeo umepoteza simu au umekipoteza kitabu kwa namna yoyote…

…Bado unaweza kukipata kitabu chako kwenye email yako..

Aidha uendelee kuhangaika na kitambi na uzito mkubwa ambao unakufanya uwe katika hatari ya magonjwa yanayoua na usionekane vizuri.. 

Au Ununue kitabu sasa hivi kwa OFA ujikwamue.

OFA Inaisha Ndani ya…

  • 00Siku
  • 00Masaa
  • 00Dakika
  • 00Sekunde

P.S. Kumbuka nafasi zimebaki 19 tu na OFA hii kwa sababu leo napokea wanafunzi wapya (wasio nifahamu)..

 Ikipita bei itakuwa ni  Tshs 21,000 na utakosa BONUS… Kwahiyo lipia SASA HIVI ili uepuke gharama za ziada!

Bado Hujalipia..?

Nina uhakika unajiuliza  ili kuwa na UHAKIKA zaidi wa hiki kitabu… 

Je, Naweza kufanya maelekezo ya kwenye kitabu hata kama sina pesa?

Jibu: NDIO. Mimi sifundishi ushinde ukila nyama na mayai na maziwa. Nakuelekeza ule kawaida kwa mpangilio maalumu. Haitakuathiri bajeti zako

Ni mimi mwenye ujali mafanikio yako..

Dr Nature

OFA Inaisha Ndani Ya..

  • 00Siku
  • 00Masaa
  • 00Dakika
  • 00Sekunde
Share
Scroll to Top