Mwongozo hatua kwa hatua jinsi ya kupunguza uzito na kitambi kiafya milele bila masharti magumu.
Ndani ya kitabu utajifunza;
- Sababu 15 kwanini upunguze uzito haraka iwezekanavyo.. (Utaokoa Hadi Tshs Milioni 7 ya upasuaji wa goti kwa kufanya yaliyopo ukurasa #7)
- Jinsi ya kujua uzito unaotakiwa kwa kufanya kitu kimoja … (Uk #19)
- Makosa 6 yanayofanywa na asilimia 80 ya watu kwenye mazoezi ndio maana hawapungui, na jinsi ya kuyaepuka.. (Uk #26)
- Jinsi ya kuchoma mafuta kwa kasi mara mbili zaidi bila kufanya chochote … (Uk #35)
- Njia BORA kuondoa kitambi sugu ambacho hakisikii diet wala mazoezi … (Uk 39)
- Bomu la NYUKLIA Kuchoma mafuta kama wazimu… (Uk 48)
- Ratiba ya Chakula kwa siku 21 na jinsi ya kuandaa … (Uk 88)
- Jinsi ya Kuchoma mafuta kama wazimu ukiwa umelala … (Uk 98)
Kitabu kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili rahisi kueleweka na kila mtu.
Dr Nature –
Kitabu hiki hakika kimebadili maisha yangu. Sikuamini kama naweza kuondoa kilo 30 nilizozipata baada ya kujifungua. Mungu akubariki doc
– Siwema