Nipo kukurudishia Matumaini Tena,

Niambie Unaumwa Nini Nami Nitakuambia Ule Nini..

Kila Ugonjwa Unaweza kukiga na kutibu kwa mtindo Bora wa maisha

Daktari Ninayekurudishia Matumaini Tena

Baada ya kuzunguka kutafuta matibabu hospitali na tiba mbadala sasa umekutana na daktari mcha Mungu mwenye mbinu za kisasa na asili kukusaidia kutibu ugonjwa kwa asili.

Kuhusu Dr Nature

Daktari wa magonjwa ya binadamu aliyebobea kutibu kwa mtindo wa maisha

Nimepata shahada (degree0 ya Udaktari chuo cha KCMC na kupata elimu ya tiba kwa chakula kutoka Kituo cha Rufaa kwa Uponyaji kwa Chakula Better Living Advoacates

Huduma

Hizi ni Huduma Unazoweza Kupata Kwangu

Ushauri na Tiba

Ushauri wa kidaktari na mwonozo wa kufanya tiba ya magonjwa kwa dawa na mtindo bora wa maisha

Elimu ya Afya

Utajifunza kupitia Video, Semina, makala na Vitabu

Bidhaa za Afya

Bidhaa za afya kama virutubisho ambavyo vimehakikishwa kuwa salama na vina matokeo mazuri kwa afya yako

Masomo

Jifunze masomo haya

Maziwa Yanafaa Katika Kupunguza Uzito & Kitambi?

Maziwa Yanafaa Katika Kupunguza Uzito & Kitambi?

Kwamba maziwa yanafaa kama unataka kupunguza uzito au kitambi inategemeana sana na aina ya maziwa.

Umuhimu wa Kachumbari ‘Salad’ Kwenye Chakula

Umuhimu wa Kachumbari ‘Salad’ Kwenye Chakula

Mbogamboga mbichi ‘kachumbari’ au ‘saladi’ zinaweza kuleta tofuati kubwa sana kwenye chakula. Inaweza kukusaidia kufikia lengo la kiafya.

Aina ya SUMU Zinazoongeza Uzito & Kitambi

Aina ya SUMU Zinazoongeza Uzito & Kitambi

Unafahamu kuna sumu unazoona za kawaida zinaweza kukufanya kuwa na uzito mkubwa milele? Yaani zikafanya mabadiliko ya kudumu mwilini mwako

Jinsi Ya Kupunguza Uzito na Kitambi Milele

Share
Scroll to Top