Finally, a Path to Healing That Actually Lasts

Personalized, science-backed health coaching that helps you break free from chronic struggles—naturally, sustainably, and for good.

Over 4300 happy clients and counting

Je, Unapambana na haya?

Najua unavyohisi. Umepambana na uzito na kutibu ugonjwa wako bila mafanikio na hata umechoka na kuchanganyikiwa nini ule au ufanye. Umewahi kujaribu kila kitu—diet, dawa, mazoezi—lakini bado afya haibadiliki. Unachoka, unakata tamaa, na hujui nani wa kumuamini tena.

Mimi ni Dr. Yusufu M. Filemo maarufu kama Dr Nature, daktari na kocha wa afya ya maisha. Nimejifunza tiba ya kawaida (doctor of medicine), naturopathy, na homeopathy. Nimewasaidia watu wengi kupona kwa kutumia lishe ya mimea, detox ya asili, na mbinu za kisayansi za kubadili tabia. Ninachofundisha kinatokana na tafiti na matokeo halisi.

Sikupi tu maarifa—nakupa mfumo unaofanya kazi. Mfumo rahisi, wa kudumu, na unaoendana na maisha yako halisi. Nitakushika mkono hatua kwa hatua hadi afya yako irejee bila dawa, mateso, au kuchanganyikiwa.

Huduma Ninazotoa

dr nature

Healthy Lifestyle Coaching

Mafunzo ya kina ya kubadili mtindo wa maisha kwa familia na mtu mmoja mmoja kudhibiti uzito, kisukari, presha, homoni na zaidi — bila dawa, kwa kutumia chakula na tabia bora.

Online Courses & Resources

Kozi za video, ebooks na miongozo ya kujifunza nyumbani — kuhusu lishe, afya ya akili, kula kwa hisia (mindful eating), na detox ya kisaikolojia.

Public Speaking & Institutional Training

Mafunzo ya afya kwa shule, makanisa, taasisi, na mashirika — yakilenga uhamasishaji, kuzuia magonjwa, na kuboresha maisha ya wafanyakazi.

easy chopper

Natural Health Products

Bidhaa bora za mimea kwa ajili ya kudhibiti uzito, kurekebisha homoni, kuondoa asidi mwilini, na kusaidia uponyaji wa ndani. Zinafaa kwa matumizi ya nyumbani.

Faida Unazopata Ukiwa Chini ya Dr. Nature

Tiba ya Chanzo, Sio Tu Dalili

Nikiwa daktari (MD) na mtaalamu wa tiba jwa chakula, natumia maarifa ya kisayansi yanayothibitishwa na tafiti (evidence-based) katika kusaidia wagonjwa kupona kwa njia ya asili.

Mpango Uliobinafsishwa Kwa Mahitaji Yako

Unapata mwongozo wa kipekee, unaoendana na mwili wako, changamoto zako na malengo yako au taasisi yako

Usiwe Tegemezi wa Dawa

Njia ninayokupa ni rahisi, wazi, na haina mateso. Unajifunza kula, kuishi na kupumua kwa afya — bila hofu, bila presha.

Share

Want to receive push notifications for all major on-site activities?

âś•