Pungua Milele Coaching

About Course
Pungua Milele Coaching ni kozi maalum inayokusaidia kupunguza uzito kwa njia endelevu bila kushinda njaa, dawa hatari, au mazoezi magumu.
Nakufundisha mtindo bora wa maisha unaoendana na afya yako, kwa vitendo tabia bora za kiafya na mbinu za kisaikolojia za kudhibiti uzito milele. Jiunge nami kubadili maisha yako kwa njia ya asili na salama!
Course Content
Utangulizi
-
09:15
Wiki 1: Detox & Mwanzo Mpya
Module 2: Tabia Mpya & Saikolojia ya Kupungua Uzito
Module 3: Viungo vya Uponyaji – Badilisha Sahani Yako, Badilika
Module 4: Shiba Kifalme – Bila Kuongeza Uzito
Module 5: Vinywaji vya Upinyaji na Upunguaji
Module 6: Deflour & Nafaka Kamili – Rudisha Uasili wa Kula
Module 7: Mazoezi kwa Ajili ya Uzito Bora – Siyo Gym Tu, Ni Mtindo wa Maisha
Module 8: Superfoods kwa Uzito Bora na Kinga Imara
Module 9: Kweli Kuhusu Nyama, Samaki, Mayai & Maziwa
Module 10: Mapishi & Ratiba ya Chakula ya Mwezi Mzima
Module 11: Kujipongeza & Kujiamini (Spiritual & Emotional Alignment)
Module 12: Tathmini, Maboresho & Mahafali
Mahafali na Hitimisho
BONUS: Mapishi
Student Ratings & Reviews
No Review Yet