Seli shina hazina mwilingiliano na dawa zozote za hospitali unazotumia. Ni kama unavyotumia chakula huwezi kusema ina imngiliano na dawa. hata hivyo, kadri unavyoendelea na matibabu ya dawa zako utapata matokeo makubwa sana yatakayokulazimisha kuacha hizo dawa zingine kwa maelekezo ya daktari wako.