Tua Kisukari
About Course
Karibu kwenye TUA KISUKARI kozi ya inayokufundisha jinsi ya kudhibiti kisukari bila dawa, kwa kutumia nguvu ya lishe na mtindo bora wa maisha.
Anza leo — hatua ndogo, matokeo makubwa.
Course Content
TUA KISUKARI
-
Somo 1: Maana, Aina na Madhara ya Kisukari
13:01 -
Somo 2: Vipimo Vya Kisukari
04:48 -
Somo 3: Usipime Sukari Asubuhi | Makosa Yatakubandika Ugonjwa wa Kisukari
00:00 -
Somo 4: Mwongozo wa Lishe
00:00 -
Somo 5: Ketogenic Diet Inafaa Kutibu Kisukari?
00:00 -
Somo 6: Sukari ni Sukari?
00:00 -
Somo 7: Hapa Ndio Chorus
00:00 -
Somo 8: Mazoezi Bora Kwa Kisukari
06:03 -
Somo 9: JInsi ya Kupata Msaada wa Karibu
08:43
Hii imenisaidia sana, hofu ya kufa imeisha. Sina cha kukulipa zaidi ya kukombea baraka kwa Mungu