Pungua Milele Coaching
About Course
Pungua Milele Coaching ni kozi maalum inayokusaidia kupunguza uzito kwa njia endelevu bila kushinda njaa, dawa hatari, au mazoezi magumu. JIfunze kanuni 23 zitakazobadili mtazamo na mtindo wako wa maisha mielele.
Course Content
Utangulizi
-
Utangulizi
07:25 -
Maandalizi
06:13 -
Uzito na Ukubwa wa Kiuno Unaofaa
03:38 -
Ujumbe Muhimu Sana
04:26
#1 Ondoa Kelele Mwilini
#2 Zingatia: Tumboni Kuna Ratiba – Sio Chochocte, Muda Wowote
#3 Kula Angalau Matunda 3 Kwa Siku
#4 Hesabu Majani, Sio Kalori
#5 Zingatia Wingi wa Mbogamboga Sio Wingi wa Chakula
#6 Nafaka na Unga
#7 Siki Siku Sita
#8 Usile Chakula Kama Dawa Usiyoipenda – Nguvu Ya Viungo
#9 Protini Bora
#10 Pata Nguvu Ya Omega-3 Asilia, Mlinzi Mkubwa Wa Moyo, Akili Na Kinga
#11 Komesha Njaa Za Mara Kwa Mara Kwa Njugu Na Mbegu Zenye Mafuta Ya Afya
#12 Chagua Mlo Usiohitaji Kinga Ya Mwili Kujitetea Kila Siku
#13 Punguza Mafuta Kwenye Sahani, Ongeza Maisha Kwenye Siku Zako
#14 Kazia Afya Yako Kwa Kuongeza Kilicho Haba – Siyo Kwa Kubahatisha, Bali Kwa Sayansi
#15 Jaza Kwanza, Kabla Hujashiba Kwa Visivyohitajika
#16 Kila Glasi ni Hatua ya Kujijenga Upya
#17 Usikimbie Sahani – Tafuna Ukisikiliza Moyo Wako, Si Tu Ladha
#18 Njaa Ikikupata Bila Mpango, Italisha Tabia Yako Mbaya
#19 Pima Uzito Wako Na Uzito Wa Maamuzi Yako
#20 Jifunze Kupumua, Kupumzika Na Kuacha Mambo Yasiyoweza Kudhibitiwa
#21 Lala Vizuri Uchome Mafuta Yaliyoshindikana Mchana
#22 Shughulisha Mwili Rejareja Na Sio Kwa Mazoezi Makubwa Mara Chache
#23 Kuwa Mtu Unayetaka Kuwa
BONUS: Mapishi
Mahafali na Hitimisho
Student Ratings & Reviews
No Review Yet