Kikokotoo cha Uzito Unoafaa

Kikokotoo cha Uzito Bora kwa BMI

Urefu (sentimita) Uzito Bora (Kg) Uzito Mzuri (Kg)

Njano

Ni uzito mzuri kwa kuwa upo kwenye BMI kati ya 22.5 na 25. Ukifikia hapo ni uzito mzuri hauna kiriba tumbo tena.

Kijani

Ni uzito bora zaidi, upo kwenye BMI kati ya 18.5 na 22. Ukifikia lengo lako la uzito, lenga kutunza uzito wako ubaki kwenye kijani.

Share
Scroll to Top