Kikokotoo cha Uzito Unoafaa Kikokotoo cha Uzito Bora kwa BMI Chagua Kitengo cha Urefu: Sentimita Futi na Inchi Weka Urefu (cm): Weka Urefu (ft): Weka Urefu (in): Kokotoa Urefu (sentimita) Uzito Bora (Kg) Uzito Mzuri (Kg) Njano Ni uzito mzuri kwa kuwa upo kwenye BMI kati ya 22.5 na 25. Ukifikia hapo ni uzito mzuri hauna kiriba tumbo tena. Kijani Ni uzito bora zaidi, upo kwenye BMI kati ya 18.5 na 22. Ukifikia lengo lako la uzito, lenga kutunza uzito wako ubaki kwenye kijani.