Sale!

Pungua Milele Part 1

(1 customer review)

Original price was: Sh 21,000.Current price is: Sh 20,000.

Mwongozo hatua kwa hatua jinsi ya kupunguza uzito na kitambi sugu kiafya milele bila masharti magumu. Njia 4 tu zitakazobadili maisha yako.

Jinsi ya Kununua Kitabu

Mwongozo hatua kwa hatua jinsi ya kupunguza uzito na kitambi kiafya milele bila masharti magumu.

Ndani ya kitabu utajifunza;

  1. Sababu 15 kwanini upunguze uzito haraka iwezekanavyo.. (Utaokoa Hadi Tshs Milioni 7 ya upasuaji wa goti kwa kufanya yaliyopo ukurasa #7)
  2. Jinsi ya kujua uzito unaotakiwa kwa kufanya kitu kimoja … (Uk #19)
  3. Makosa 6 yanayofanywa na asilimia 80 ya watu kwenye mazoezi ndio maana hawapungui, na jinsi ya kuyaepuka.. (Uk #26)
  4. Jinsi ya kuchoma mafuta kwa kasi mara mbili zaidi bila kufanya chochote … (Uk #35)
  5. Njia BORA kuondoa kitambi sugu ambacho hakisikii diet wala mazoezi … (Uk 39)
  6. Bomu la NYUKLIA Kuchoma mafuta kama wazimu… (Uk 48)
  7. Ratiba ya Chakula kwa siku 21 na jinsi ya kuandaa … (Uk 88)
  8. Jinsi ya Kuchoma mafuta kama wazimu ukiwa umelala … (Uk 98)

Kitabu kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili rahisi kueleweka na kila mtu.

1 review for Pungua Milele Part 1

  1. Dr Nature

    Kitabu hiki hakika kimebadili maisha yangu. Sikuamini kama naweza kuondoa kilo 30 nilizozipata baada ya kujifungua. Mungu akubariki doc
    – Siwema

Add a review