5.00
(2.00)
Dr Nature
2 Courses • 32 Students
5.00
(2.00)
Biography
Dk. Yusufu Mohamed Filemon, anayejulikana kama Dr Nature, ni daktari na mkufunzi wa mtindo bora wa maisha (Healthy Lifestyle Coach) mwenye wito wa kusaidia watu kutibu na kuzuia magonjwa sugu kwa kutumia njia za asili na lishe kamili ya mimea (Whole Food Plant-Based Diet).
Akiwa na uzoefu mkubwa katika tiba asilia (naturopathy na homeopathy), Dk. Nature ameunda programu mbalimbali za afya zinazolenga kutibu visababishi vya magonjwa badala ya dalili zake. Kupitia falsafa yake ya “Mwili una uwezo wa kujitibu ukipewa mazingira sahihi,” amewasaidia mamia ya watu kupunguza uzito, kurejesha nguvu za mwili, na kuondoa magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu, na matatizo ya homoni — bila dawa.