Hasara Ya Kupunguza Uzito Kwa Kasi, Na Kiasi Kinachotakiwa

Ukiwa na uzito mkubwa na kitambi unatamani unywe dawa moja hivi ya miujiza ukilala ukiamka tumbo halipo…😂

‘Hiyo ni hatari..!’

Nenda hado hado..

Ukiwa na mafuta mengi mwilini, uwiano wa sehemu ya misuli inayojenga uzito wa mwili ‘lean mass’ hupungua.

Unapoanza kupunguza uzito … ili urudi wenye shepu, lazima misuli ijengeke.

Yaani, unachoma mafuta huku unajenga misuli.

Misuli kujengeka inachukua muda, mafuta yanawezakupungua haraka sana lakini kazi ya kujenga misuli inachukua muda..

Ukipunguza mafuta haraka sana.. misuli itakuwa haijajejenga sawa sawa..

Matokeo yake ni kuonekana umekonda ‘mzee’ ndio mwanzo wa kuanza kushukiwa huenda unaumwa.

Maana zile tishu za ngozi ‘connective tishu’ zinakuwa bado hazijakaa mahali pake.

Pia, tumbo litakuwa legelege na utakuwa na nyama zembe, kwa sababu misuli haikupata nafasi ya kukua na kujaza hayo magepu.

Ili upungue vizuri uwe na shepu nzuri nenda taratibu, usitake njia ya haraka utajiharibu.

Nikisema shepu namaanisha viungo vyoye vya mwili siyo hips tu wanaume msiniblock😂

Kitaalamu unatakiwa usipunguze zaidi ya asilimia 2% ya uzito kwako kwa wiki. Ukiwa na uchungu sana na uzito basi usivuke 3%

Yaani kama una kilo 100, kwa wiki lenga kupunguza sio zaidi ya kilo 2 ambazo kwa mwezi ni kilo 8.

Hicho ni kiasi ambacho kitakupatia nafasi pia ya mwili kujenga misuli.

Misuli inajengwa na chakula na mazoezi.

Kama una mwili mkubwa sana, jitahidi wakati unafanya chakula hai fanya mazoezi mepesi pia hata kama ni kutembea sawa.

Ukizungumzia kupunguza uzito mkubwa na kitambi lazima uifahamu Easy Chopper.

Easy chopper ni dawa ya asili ambayo inaongeza kasi ya mwili kuchoma mafuta, INAPUNGUZA NJAA na hivyo inapunguza uzito na kitambi.

Inawafaa sana watu ambao diet inawapiga chenga na ambao wanataka kujihakikishia matokeo katika hii safari.

Sio chungu wala SIO YA KUHARISHA.

Haina madhara, ina faida kibao ikiwemo kutibu vidonda vya tumbo na shida ya hedhi.

Shared with❤️

Dr Nature | 0767759137

Share
Scroll to Top