Permanent Weightloss

Diet ya Nyama ‘KETOGENIC’ Ni Ergolytic?

Mwezi September 2023 Brother mmoja miaka 32 anaitwa Nasibu Jr alijiunga na program yangu ya PERMANENT WEIGHTLOSS. Akaifanya kwa bidii kwa wiki 5. Kisha jioni moja ananipigia simu kunishukuru. Amekuwa akipambana na uzito mkubwa kwa miaka miwili. Uzito wake uliongezeka hadi kufikia 98kg lengo lake afike 65kg. Katika harakati zake za kutafuta mbinu alikuwa kwenye …

Diet ya Nyama ‘KETOGENIC’ Ni Ergolytic? Read More »

Kwanini KUSHINDA NJAA Sio Njia Nzuri Kupunguza Uzito Milele?

Kwanini KUJINYIMA Chakula Sio Njia Nzuri ya Kupunguza Uzito na Kitambi Milele? Watu wengi huenda na wewe ni miongoni mwao wanaamini kuwa wamenenepa kwa sababu wamekula sana. Na hivyo ili wapungue walazimishe kupunguza kula (kiasi cha chakula)- ‘Washinde na njaa’ Siku zote, kitu kinachoweza kukupatia matokeo ya kudumu ya kupunguza uzito mkubwa lazima kiwe na …

Kwanini KUSHINDA NJAA Sio Njia Nzuri Kupunguza Uzito Milele? Read More »

Parachichi ‘Ovacado’ Inanenepesha?

Parachichi kama ilivyo vyakula hai vingine vinaufanya mwili uwe na afya njema kwa ujumla. Matumizi ya chakula hai yanakusaidia kuwa na mwili wako katika ubora zaidi. Ikiwa umedhoofu umekuwa na uzito mdogo sana inakusaidia kukuongezea uzito ufikie uzito unaokustahili. Nimeona kwa wagonjwa kama wagonjwa kisukari waliokuwa wamekonda kwa sababu ya ugonjwa wametumia parachichi miongoni mwa …

Parachichi ‘Ovacado’ Inanenepesha? Read More »

Chakula Hai – Mwongozo wa Tiba Lishe (+Ratiba ya Siku 7)

Mwongozo wa lishe haujawahi kuwa rahisi kama hivi.. Maelfu ya watu wenye magonjwa na malengo mbalimbali ya kiafya wamefuata namna hii rahisi ya kula na matokeo yake ni kama muujiza! Mbali na kutibu mamia ya magonjwa ambayo vinginevyo hayatibiki au yangekughalimu mamilion kutibu, aina hii ya kula itakusaidia kuongeza kasi ya mwili kuchoma mafuta, kuondoa …

Chakula Hai – Mwongozo wa Tiba Lishe (+Ratiba ya Siku 7) Read More »

Permanent Weightloss – Maelezo

PERMANENT WEIGHTLOSS Hii ni program iliyoanzishwa na kuendeshwa na Dr Nature, inayokusaidia kupuguza uzito mkubwa na kitambi kiafya milele (kwa namna ambayo ni endelevu) FAIDA ZAKE INAFANYIKAJE? Kuna mambo 5 unatakiwa kuyafahamu: Hapa unajifunza jinsi ya kuchagua, kuandaa na kupangilia chakula kinachotokana na mimea kwa uasili wake. Utakula wingi wa matunda, mbogamboga, nafaka nzima, njugu …

Permanent Weightloss – Maelezo Read More »

Usiyachagulie Mafuta Pakutoka – Acha Asili Ikutengeneze

Njia salama ya kuondoa mafuta ya mwili ni kuyaacha yaondoke kama yalivyokuja.. Ni changamoto sana kupunguza sehemu fulani tu ya mwili na ukajichagulia sehemu zingine zisipungue. Mfano, Kinachofuata ni kufanya mazoezi sana ya tumbo au kushinda na mkanda wa tumbo ila usitegemee utafanikiwa.. Mwili ndio unapangilia jinsi ya kutunza mafuta na jinsi ya kuyachoma.. Kama …

Usiyachagulie Mafuta Pakutoka – Acha Asili Ikutengeneze Read More »

Share
Scroll to Top