Kwanini Ule Kabla Ya Saa 2 Usiku Ili Kupunguza Uzito Milele..
Kuna umuhimu mkubwa wa kujua muda wa kula kama ilivyo kujua aina ya chakula.
Kuna umuhimu mkubwa wa kujua muda wa kula kama ilivyo kujua aina ya chakula.
Uzito mkubwa na kitambi mojawapo ya sababu inayoweza kuzuia mwanamke asipate mimba au kupata shida wakati wa ujauzito. Fanya haya kabla ya kubeba mimba.
Je, unafahamu muda mzuri wa kufanya mazoezi Kwa ajili ya kupunguza uzito? Ni asubuhi, mchana au jioni? Baada au kabla ya kula?
Kwa asili binadamu hapendi kufanya mazoezi. Bahati mbaya sio kila mazoezi yanafaa kwenye kupunguza uzito.
Gundua hapa..
Kuna tofauti kati ya kusafisha mwili ‘cleanse’ na kuondoa sumu mwilini ‘detox’. Hii ndio namna bora ya kufanya hivyo..
Unafahamu kuna sumu unazoona za kawaida zinaweza kukufanya kuwa na uzito mkubwa milele? Yaani zikafanya mabadiliko ya kudumu mwilini mwako
Mbogamboga mbichi ‘kachumbari’ au ‘saladi’ zinaweza kuleta tofuati kubwa sana kwenye chakula. Inaweza kukusaidia kufikia lengo la kiafya.
Kwamba maziwa yanafaa kama unataka kupunguza uzito au kitambi inategemeana sana na aina ya maziwa.