Maziwa Yanafaa Katika Kupunguza Uzito & Kitambi?

Kwamba maziwa yanafaa kama unataka kupunguza uzito au kitambi inategemeana sana na aina ya maziwa.