Dr Nature

Njia 12 za Kulala Kama Mtoto – Jinsi ya Kupata Usingizi Mnono

Usingizi wa uhakika ni jambo jema sana kwa ajili ya afya ya mwili wako. Lakini kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, pamoja na kujengeka kwa jamii yenye mfumo wa maisha wenye shughuli nyingi, watu wengi hawapati usingizi mzuri. Faida za kupata usingizi mzuri ni pamoja na; Kuimarisha na kuboresha ukuaji wa mwili Kujenga na …

Njia 12 za Kulala Kama Mtoto – Jinsi ya Kupata Usingizi Mnono Read More »

Upimaji wa Vinasaba DNA: Utaratibu na Gharama Zake Tanzania

DNA, au vinasaba, ni molekuli yenye umuhimu mkubwa katika viumbehai, ikifanya kama msimamizi wa habari jenetiki ambayo hupitisha taarifa muhimu kwa kizazi kinachofuata. Upimaji wa DNA, ambao ni mchakato wa kutambua, kuchambua, na kuelewa sehemu mbalimbali za molekuli hii, umekuwa msingi wa mapinduzi katika sayansi, tiba, na hata katika maisha ya kila siku. Umuhimu wa …

Upimaji wa Vinasaba DNA: Utaratibu na Gharama Zake Tanzania Read More »

Faida, Madhara na Mbadala wa ASPRIN Kwa Magonjwa ya Moyo

Salicylic acid ni kiambata muhimu zaidi kwenye aspin. Imetumika kwa mamia ya miaka kwa ajili ya kuzima mioto ‘anti-inflamatory’ na kutuliza maumivu kwa wakati mmoja. Historia inaonesha Hippocrates (tabibu mhenga wa kiyunani aliyeishi Kabla ya Kristo) alitumia salicylic acid kutoka kwenye magome ya mti wa willow kutibu homa na maumivu wakati wa kujifungua. Toka mwaka 1899 huenda hadi leo, asprin …

Faida, Madhara na Mbadala wa ASPRIN Kwa Magonjwa ya Moyo Read More »

Share
Scroll to Top