vua miwani macho

Magonjwa ya macho ninayomaanisha ni kama;

  • Kutoona Mbali
  • Kutoona Karibu
  • Mtoto wa jicho ‘Cataracts’
  • Presha ya Macho ‘Glaucoma’
  • Macho kuogopa mwanga na kutoa machozi
  • Uvimbe Kwenye jicho au Ubongo

Huna haja ya kuvaa miwani maisha yako yote na kuendelea kubadili miwani, unaweza ukaivua ndani ya muda mfupi.

Au Kwenda kufanyiwa upasuaji ili kuokoa uwezo wako wa kuona…

Unaweza Ukatibu Matatizo haya ya macho kwa kutumia seli shina (Stem Cells Therapy)

kabla sijakueleza Matibabu Kwa Seli Shina ni nini.. Fahamu hili:

Matatizo mengi ya macho kama nilivyoyaorodesha hapo juu yanasababishwa na;

1. Uchakavu wa seli za misuli midogo inayotala kurefuka na kupika kwa lenzi ili uone vizuri mbali na karibu.

2. Uchakavu ‘Mioto (inflammation‘ ya mishipa ya damu inayopelekea seli za macho kukosa virutubisho na kushindwa kutoa sumu zake.

3. Magonjwa kama presha na kisukari

Ndio maana miwani au kufanyiwa upasuaji sio suluhisho. 

Miwani haitibu chochote na ukifanya upasuaji wa mfano mtoto wa jicho, ugonjwa utarudi tena kwa sababu hujatibu chanzo.

Matibabu Kwa Seli Shina

Seli shina ni jina lingine la SELI MAMA..

Ili uelewe vizuri, jifikirie wewe uliye na trioni 75-100 za seli lakini umetokana na seli moja tu baada ya mbegu ya baba na yai la mama kukutana.

Kutoka kwenye hiyo seli moja unapata matrioni ya seli ambayo yanaunda viungo na mwili kwa ujumla.

Kila siku seli zinakufa na seli zinazaliwa ili kufidia zile zilizokufa ili maisha yako yaendelee..

Seli zinazozaliwa zinatokana na seli shina zinazohusika na kutengeneza seli husika.

Kadri umri unavyosonga UBORA na WINGI wa seli shina za mtu zinapungua.

Matokeo yake viungo na tishu za mwili zinakuwa zinaharibika kwa kasi kuliko uwezo wa mwili kurudishia seli hai.

Ikiwa uharibifu wa seli unatokea kwenye macho, magonjwa ya macho ya kila aina yanatokea.

Endapo mtu seli shina zake zikiwezeshwa akawa nazo nyingi zinazofanya kazi vizuri..

Na kupona ugonjwa wa macho haraka sana!

Kwa miaka mingi imebaki kuwa fumbo, utaalamu wa kupata seli shina kirahisi.

Utaalaamu uliokuwepo ilikuwa mtu lazima apate seli shina kutoka kwa mtu mwingine.. matibabu ambayo ni ghali sana na ya hatari

Wengi wetu ni suala ambalo hatuwezi hata kuliwaza, haliwezekani.

Mageuzi katika sayansi katika karne ya 21 yamegundua jinsi ambavyo SELI SHINA za baadhi ya MIMEA zinaweza kuleta matokeo yale yale..

Tena

  • Gharama yake sio kubwa
  • Hazina kumkataa mtu kwamba amepata rejection kuwa haziendani na mwili
  • Mtu yeyote anaweza kupata na kutumia bila masharti

Seli Shina hizi zinafanya kazi zifuatazo kwenye macho;

1. Zinaufanya mwili kuwa na seli shina kwa wingi zenye ubora na hivyo macho yanaweza kujitengeneza upya..

2. Zinahuisha seli ziweze kufanya kazi yake kwa mpangilio unaotakiwa.

Zile seli ambazo zimenyong’onyea kwa sababu ya mtindo mbaya wa maisha inazifufua zifanye kazi vizuri

3. Zina RUTUBISHA

Kwahiyo seli za macho zinapata virutibisho zinavyovihtaji kufanya kazi yake

4. Zinatiba Magonjwa Mengine

Seli shina zinatibu kabisa kisukari na presha na madhara yake. Sio kutuliza, kutibu moja kwa moja. 

Na hivyo Magonjwa kama presha ya macho na mtoto wa jicho nayo yanapona.

Matumizi

Seli shina zinatumika kwa kuweka chini ya ulimi kwahiyo sio ya kunywa wala ya kumeza. 

Shuhuda

Alivaa Miwani Kwa Miaka 23 Amevua Baada ya Kutumia Seli Shina

Amevaa Miwani Kwa Miaka 5 Amevua Kwa Siku 10 Baada Ya Kutumia Seli Shina

Mawasiliano:

Simu/Whatsapp: 
+255-767-759-137

Au Bofya HAPA

Masomo Zaidi Ya Magonjwa Ya Macho

Mawasiliano:

Simu/Whatsapp: 
+255-767-759-137

Au Bofya HAPA

Share
Scroll to Top