Skip to content
  • eBooks
  • All Courses
  • About
  • Dashboard Page
Request a Consultation
Request a Consultation
  • eBooks
  • All Courses
  • About
  • Dashboard Page
Request a Consultation
Request a Consultation

Kwanini Ule Kabla Ya Saa 2 Usiku Ili Kupunguza Uzito Milele..

Leave a Comment / Chakula hai, Circardian Rhythm, Permanent Weightloss / Dr Nature

Kuna umuhimu mkubwa wa kujua muda wa kula kama ilivyo kujua aina ya chakula.

Kwanini Ule Kabla Ya Saa 2 Usiku Ili Kupunguza Uzito Milele.. Read More »

Uzito Mkubwa Kabla Ya Ujauzito

Leave a Comment / Chakula hai, Permanent Weightloss, Uzazi wanawake / Dr Nature

Uzito mkubwa na kitambi mojawapo ya sababu inayoweza kuzuia mwanamke asipate mimba au kupata shida wakati wa ujauzito. Fanya haya kabla ya kubeba mimba.

Uzito Mkubwa Kabla Ya Ujauzito Read More »

Muda Sahihi Wa Kufanya Mazoezi Kwa Ajili Ya Kupunguza Uzito

Leave a Comment / Circardian Rhythm, Mazoezi, Permanent Weightloss, Usugu wa Insulin / Dr Nature

Je, unafahamu muda mzuri wa kufanya mazoezi Kwa ajili ya kupunguza uzito? Ni asubuhi, mchana au jioni? Baada au kabla ya kula?

Muda Sahihi Wa Kufanya Mazoezi Kwa Ajili Ya Kupunguza Uzito Read More »

Jinsi ya Kutibu Nyama za Pua Sugu (+ Ushuhuda: Alivyotibu Nyama za Pua na Kamasi Zilizodumu Kwa Miaka 15

Leave a Comment / Mzio 'Allergy', Selishina, Uvimbe / Dr Nature

Jinsi ya kutibu NYAMA ZA PUA ‘Nasal Polyps’ Sugu Bila Upasuaji.
.. “Aliugua kwa miaka 15 akafanyiwa upasuaji mara mbili; hivi ndivyo alivyopona…”

Jinsi ya Kutibu Nyama za Pua Sugu (+ Ushuhuda: Alivyotibu Nyama za Pua na Kamasi Zilizodumu Kwa Miaka 15 Read More »

Dr Nature on a bike

Mazoezi Yanayofaa Kupunguza Uzito Milele

1 Comment / Mazoezi, Permanent Weightloss / Dr Nature

Kwa asili binadamu hapendi kufanya mazoezi. Bahati mbaya sio kila mazoezi yanafaa kwenye kupunguza uzito.
Gundua hapa..

Mazoezi Yanayofaa Kupunguza Uzito Milele Read More »

Tetekuwanga ‘Rubella’: Dalili, Sababu, Tiba na Kinga

Leave a Comment / Magonjwa ya Kuambukiza, Virusi / Dr Nature

Tetekuwanga ‘Rubella’ ni ugonjwa unasosababishwa na virusi. Unaweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

Tetekuwanga ‘Rubella’: Dalili, Sababu, Tiba na Kinga Read More »

Jinsi ya Kuondoa Sumu Mwilini Milele

Leave a Comment / Chakula hai, Permanent Weightloss, Sumu / Dr Nature

Kuna tofauti kati ya kusafisha mwili ‘cleanse’ na kuondoa sumu mwilini ‘detox’. Hii ndio namna bora ya kufanya hivyo..

Jinsi ya Kuondoa Sumu Mwilini Milele Read More »

Aina ya SUMU Zinazoongeza Uzito & Kitambi

1 Comment / Permanent Weightloss, Sumu / Dr Nature

Unafahamu kuna sumu unazoona za kawaida zinaweza kukufanya kuwa na uzito mkubwa milele? Yaani zikafanya mabadiliko ya kudumu mwilini mwako

Aina ya SUMU Zinazoongeza Uzito & Kitambi Read More »

Umuhimu wa Kachumbari ‘Salad’ Kwenye Chakula

2 Comments / Kachumbari, Permanent Weightloss / Dr Nature

Mbogamboga mbichi ‘kachumbari’ au ‘saladi’ zinaweza kuleta tofuati kubwa sana kwenye chakula. Inaweza kukusaidia kufikia lengo la kiafya.

Umuhimu wa Kachumbari ‘Salad’ Kwenye Chakula Read More »

Maziwa Yanafaa Katika Kupunguza Uzito & Kitambi?

2 Comments / Maziwa, Permanent Weightloss / Dr Nature

Kwamba maziwa yanafaa kama unataka kupunguza uzito au kitambi inategemeana sana na aina ya maziwa.

Maziwa Yanafaa Katika Kupunguza Uzito & Kitambi? Read More »

Post pagination
← Previous 1 … 4 5

Copyright © 2026