Jinsi ya Kuondoa Sumu Mwilini Milele
Kuna tofauti kati ya kusafisha mwili ‘cleanse’ na kuondoa sumu mwilini ‘detox’. Hii ndio namna bora ya kufanya hivyo..
Kuna tofauti kati ya kusafisha mwili ‘cleanse’ na kuondoa sumu mwilini ‘detox’. Hii ndio namna bora ya kufanya hivyo..
Unafahamu kuna sumu unazoona za kawaida zinaweza kukufanya kuwa na uzito mkubwa milele? Yaani zikafanya mabadiliko ya kudumu mwilini mwako