Chakula hai

Faida, Madhara na Mbadala wa ASPRIN Kwa Magonjwa ya Moyo

Salicylic acid ni kiambata muhimu zaidi kwenye aspin. Imetumika kwa mamia ya miaka kwa ajili ya kuzima mioto ‘anti-inflamatory’ na kutuliza maumivu kwa wakati mmoja. Historia inaonesha Hippocrates (tabibu mhenga wa kiyunani aliyeishi Kabla ya Kristo) alitumia salicylic acid kutoka kwenye magome ya mti wa willow kutibu homa na maumivu wakati wa kujifungua. Toka mwaka 1899 huenda hadi leo, asprin …

Faida, Madhara na Mbadala wa ASPRIN Kwa Magonjwa ya Moyo Read More »

Diet ya Nyama ‘KETOGENIC’ Ni Ergolytic?

Mwezi September 2023 Brother mmoja miaka 32 anaitwa Nasibu Jr alijiunga na program yangu ya PERMANENT WEIGHTLOSS. Akaifanya kwa bidii kwa wiki 5. Kisha jioni moja ananipigia simu kunishukuru. Amekuwa akipambana na uzito mkubwa kwa miaka miwili. Uzito wake uliongezeka hadi kufikia 98kg lengo lake afike 65kg. Katika harakati zake za kutafuta mbinu alikuwa kwenye …

Diet ya Nyama ‘KETOGENIC’ Ni Ergolytic? Read More »

Jinsi ya Kupunguza Kalori Bila Kujinyima Chakula

Jinsi ya Kupunguza Kalori Bila Kujinyima Chakula Tabibu mmoja aliwahi kusema ‘’Aliyekula hadi akaugua inatakiwa kufunga hadi apone’’. Ukiwa na kitambi au uzito mkubwa ni matokeo ya kulundikana kwa ziada ya chakula katika namna ya mafuta. Kufunga ni salaha nzuri ya kukusaidia kuufanya mwili utumie hifadhi hiyo ya chakula iliyopo mwilini tayari. Unapopambana na kupunguza …

Jinsi ya Kupunguza Kalori Bila Kujinyima Chakula Read More »

Parachichi ‘Ovacado’ Inanenepesha?

Parachichi kama ilivyo vyakula hai vingine vinaufanya mwili uwe na afya njema kwa ujumla. Matumizi ya chakula hai yanakusaidia kuwa na mwili wako katika ubora zaidi. Ikiwa umedhoofu umekuwa na uzito mdogo sana inakusaidia kukuongezea uzito ufikie uzito unaokustahili. Nimeona kwa wagonjwa kama wagonjwa kisukari waliokuwa wamekonda kwa sababu ya ugonjwa wametumia parachichi miongoni mwa …

Parachichi ‘Ovacado’ Inanenepesha? Read More »

Vyanzo Vya Maji Ya Kunywa Na Usalama Wake

VYANZO VYA MAJI YA KUNYWA NA USALAMA WAKE Na Umuhimu Wake Katika Kupunguza Uzito Imezoeleka kusikia ushauri kuwa kunywa maji mengi yanasaidia kupunguza uzito. ‘Ni Kweli’.. Kivipi? Ukinywa maji mengi unapunguza kiasi cha soda au energy drink ambacho utakunywa. inatokea ‘automatically’.. hii inakusaidia kukupunguzia mafuta yanayotunzwa Hii ni homoni ambayo inahusika na kuongeza KIU ya …

Vyanzo Vya Maji Ya Kunywa Na Usalama Wake Read More »

Faida Ya Mbegu Ya Parachichi – Jinsi ya Kuandaa na kutumia

FAIDA ZA MBEGU ZA PARACHICHI, MAGONJWA YANAYOTIBIWA NA UNGA WA MBEGU ZA PARACHICHI Limetumika kwa miaka mingi kama tunda na pia kama mboga. Kwa sababu ya wingi wa virutubisho vyake linatumika kutibu maradhi ya shida ya mmeng’enyo wa chakula, moyo na mfumo wa damu, urutubishaji wa nywele na ngozi, na kuboresha afya. Mbegu yake inatumika …

Faida Ya Mbegu Ya Parachichi – Jinsi ya Kuandaa na kutumia Read More »

Kula Kulingana na Kundi la Damu – Kuna Faida Yoyote?

TULE KULINGANA NA MAKUNDI YA DAMU? Hii nadharia alianzisha na baadhi ya wataalamu wa tiba asili na kuungwa mkono na wataalamu wengine baadaye. Unafahamu mara nyingi wataalamu wa tiba asili hawategemei sana sayansi, wanategemea kile ambacho kina leta majibu na vile mtaalamu atakavyowaza inafaa au kilichozoeleka kuwa kinasaidia. Lakini katika ulimwengu wa sasa tunataka ushahidi …

Kula Kulingana na Kundi la Damu – Kuna Faida Yoyote? Read More »

Namna Bora ya Kuandaa Mbogamboga

NAMNA BORA YA KUANDAA MBOGAMBOGA.. Tunachokitafuta kwenye mbogamboga ni ‘virutubisho’ Iwe unakula mbichi kama ‘saladi/kachumbari’, juisi au mboga za kupika. Ili kupata faida zote, kila aina ya mboga kuna aina yake ya kuandaa kuvuna faida (virutubisho) vingi.. Kila aina ya mboga ina aina yake ya kuandaa ili kuvuna faida zaidi.. Kuna zingine unaweza ukala mbichi …

Namna Bora ya Kuandaa Mbogamboga Read More »

Share
Scroll to Top