Tiba ya Madhara ya PUNYETO

Nini Maana ya Punyeto? Punyeto ni kitendo cha kujichua/kusisimua kiungo cha uzazi mithili ya kufanya ngono hadi kufika kileleni kwa kutumia kitu/kifaa tofauti na kiungo cha uzazi.  Kitendo hiki kina majina mengi tofauti tofauti kulingana na jamii ya watu husika. Baadhi ya majina hayo ni puchu, kupiga puli, kujisugua (hasa kwa wanawake), kujichua, kulipua n.k. …

Tiba ya Madhara ya PUNYETO Read More »