Hakuna haja ya kuhangaika na ugonjwa kusubiri mwisho wa maisha au kufanya upasuaji. Matibabu Kwa Seli shina yataokoa gharama, maisha na muda wa matibahu ya uvimbe na saratani

Matibabu Kwa Seli Shina

Seli shina ni jina lingine la SELI MAMA..

Ili uelewe vizuri, jifikirie wewe uliye na trioni 75-100 za seli lakini umetokana na seli moja tu baada ya mbegu ya baba na yai la mama kukutana.

Kutoka kwenye hiyo seli moja unapata matrioni ya seli ambayo yanaunda viungo na mwili kwa ujumla.

Kila siku seli zinakufa na seli zinazaliwa ili kufidia zile zilizokufa ili maisha yako yaendelee..

Seli zinazozaliwa zinatokana na seli shina zinazohusika na kutengeneza seli husika.

Kadri umri unavyosonga UBORA na WINGI wa seli shina za mtu zinapungua.

Matokeo yake viungo na tishu za mwili zinakuwa zinaharibika kwa kasi kuliko uwezo wa mwili kurudishia seli hai.

Kutegemeana na aina ya seli zilizoathirika utapata ugonjwa wa eneo hilo ambayo tunaitwa magonjwa ya UCHAKAVU WA MWILI au magonjwa ya UZEE

Endapo mtu seli shina zake zikiwezeshwa akawa nazo nyingi zinazofanya kazi vizuri..

Anaweza akapona ugonjwa wowote kwa haraka sana!

Kwa miaka mingi imebaki kuwa fumbo, utaalamu wa kupata seli shina kirahisi.

Utaalaamu uliokuwepo ilikuwa mtu lazima apate seli shina kutoka kwa mtu mwingine.. matibabu ambayo ni ghali sana na ya hatari

Wengi wetu ni suala ambalo hatuwezi hata kuliwaza, haliwezekani.

Mageuzi katika sayansi katika karne ya 21 yamegundua jinsi ambavyo SELI SHINA za baadhi ya MIMEA zinaweza kuleta matokeo yale yale..

Tena

  • Gharama yake sio kubwa
  • Hazina kumkataa mtu kwamba amepata rejection kuwa haziendani na mwili
  • Mtu yeyote anaweza kupata na kutumia bila masharti

Seli Shina hizi zinafanya kazi zifuatazo

1. Zinaufanya mwili kuwa na seli shina kwa wingi zenye ubora na hivyo mwili unakuwa na uwezo wa kujitibu magonjwa yote!

2. Zinahuisha seli ziweze kufanya kazi yake kwa mpangilio unaotakiwa mwilini

Zile seli ambazo zimenyong’onyea kwa sababu ya mtindo mbaya wa maisha inazifufua zifanye kazi vizuri

3. Zina RUTUBISHA

Kuna magonjwa mengine ambayo yanakuja kwa sababu ya upungufu wa virutubisho muhimu kama Potassium seli shina inarutubisha hizo seli.

Matumizi

Seli shina zinatumika kwa kuweka chini ya ulimi kwahiyo sio ya kunywa wala ya kumeza. 

Hata kama mgonjwa ni mahututi hawezi kula anaweza kutumia.

Shuhuda

Mama Amepona Saratani ya Koo Stage 4 Kwa Seli Shina

Sister Kapona Saratani ya PUA: Muhimbili, Ocean Road na India ilishindikana

Mawasiliano:

Simu/Whatsapp: +255-767-759-137
Email: real.dr.nature@gmail.com

Au Bofya HAPA

Share
Scroll to Top