Nini Maana ya Punyeto?

Punyeto ni kitendo cha kujichua/kusisimua kiungo cha uzazi mithili ya kufanya ngono hadi kufika kileleni kwa kutumia kitu/kifaa tofauti na kiungo cha uzazi. 

Kitendo hiki kina majina mengi tofauti tofauti kulingana na jamii ya watu husika. Baadhi ya majina hayo ni puchu, kupiga puli, kujisugua (hasa kwa wanawake), kujichua, kulipua n.k.

Kwanini Watu Hupiga Punyeto?

Ziko sababu nyingi, ya kwako unaifaham. Jinsi ulivyoanza na nini huwa kinakusukuma kufanya.

Sababu za watu wengine ni pamoja na:

1. Kuangalia pornography ‘picha au video za X’

Inaweza kuwa imeanza kwa kuona picha ya uchi au video mtandaoni kisha ukanogewa ukaangalia tena na tena ukasisimka na kutaka kuangalia kila siku.

Kila ukiangalia unasisimka na kutaka kumaliza haja zako kwa kujichua ili hisia ziishe. 

2. Elimu potofu

Wakati tukiwa shule tulikuwa tukishauriwa tusifanye ngono zembe badala yake tupige puchu ni ngono salama. Huu ni mfano wa elimu potofu kuhusu uchafu huu wenye madhara makubwa.

3. Ukosefu wa maadili na hofu ya Mungu

Dhambi zote anazotenda mtu ni nje ya mwili lakini zinaa ni dhambi inayofanywa ndani ya mwili.

Kwa kuwa hakuna anayekuona, MUNGU daima anaona unachofanya hata kama ni sehemu ya siri sana. Hata hizo search history unazofuta baada ya kuangalia porn Mungu anaona.

Usipokuwa na hofu ya Mungu unaweza ukafanya hivyo kwa kumficha mke au mume wake, wazazi au rafiki zako lakini Mungu anakuona.

4. Kuwa mpweke na kukaa bila kazi

Ukikaa bila kazi au mpweke unajiweka katika hatari ya kufanya vitu usivyokusudia. Kuna msemo wa zamani unasema, “akili isiyo na chakufanya ni karakana ya Ibilisi”. Katika hali kama hii unaweza kujikuta tayari umejiingiza katika kufanya vitendo vibaya vitakavyomkugharimu sana baadaye.

5. Kufuata mkumbo

Katika umri wa ujana moja kati ya tabia yao ni kupenda kuwa sawa na wale wanaohusiana nao kila siku. Kwahiyo kwa sababu ndege wanaofanana huruka pamoja basi anajikuta naye anaiga kufanya kile anachoona vijana wenzake wanafanya. Hii hutokea sana hasa kwa vijana ambao hawana msingi mzuri wa elimu hii.

Vijana wengi hasa wakati wa kujiunga na shule za sekondari huwa hawajui kuhusu mchezo huu. Lakini wanapofika shuleni kwa kuwa hawana msingi wowote wa elimu kuhusu haya wanajikuta wanaingia katika mkumbo wa kufanya punyeto.

Wengi hupeana moyo na kusema kuwa ndio ngono salama na inaweza kusaidia wao kutojihusisha na uasherati na hivyo kufikia ndoto zao katika maisha. Lakini jambo hilo ni tofauti kwa sababu hupelekea kupata taabu katika maisha yao, kukosa furaha na kushindwa kufikia ndoto zao kama walivyodhani.

6. Sababu ya 6 Hadi 10

Huenda sababu yako sijaifikia. Nimefupisha ili niende kwenye madhara na tiba.

Sababu ya 6 hadi ya 10 utazipata ukurasa wa 22-24 wa kitabu ‘TIBA YA MADHARA YA PUNYETO – Dr Nature’

Madhara ya Punyeto

Madhara ya punyeto yamegawanyika katika makundi matano (5) kwa wanaume na wanawake.

   

   • Madhara kwenye mfumo wa neva

   • Madhara kwenye misuli

   • Madhara ya kisaikolojia

   • Madhara ya kijamii

   • Madhara kiroho

  Nitaeleza madhara kwa ujumla unayoweza kuyapata kutokana na punyeto. Angalau katika namna itakayokusaidia kuanza matibabu leo!

  Kuwahi kufika kileleni (mwanaume)

  Kutokana na kuharibu kwa mfumo wa neva ‘parasympathetic’ kutokana na kuusisimua sana kila wakati inapelekea mwanaume kuwahi kufika kileleni. Dakika moja chali.

  Kukosa hisia za ngono (mwanaume na mwanamke)

  Kujichua na kutazama pono kunasababisha shida inaitwa porn induced erectile dysfunction kwa sababu ubongo unakuwa umezoeshwa kusisimliwa sana kiasi kwamba sio rahisi kusisimka kirahisi kwa kumwona mwanamke au kupata hisia za ngono kirahisi kwa wanawake.

  Unakuwa unahitaji kuona porn au kusisimuliwa sana ili majeshi yaamke. Huo ni upungufu wa nguvu za kiume pia.

  Migogoro na mahusiano kuvunjika

  Ukiwa na tabia hii huvutiwi sana na mwenzi wako. Na uwezo wako wa shughuli unapungua ni mwanzo wa migogoro na mahusiano kuvunjika.

  Madhara kisaikolojia

  Kutokana na tabia hii chafu mtu unaweza kujikuta unaanza kujidharua na kujishusha thamani yako. Unaanza kujiona hufai. Anakuwa na msongo wa mawazo. Wengine hufikia hatua ya kuogopa kuoa/kuolewa kwa sababu ya kuhofia aibu.

  Hufanya mtu kujiona hufai hata kujichanganya wenzako na kuogopa zaidi jinsia tofauti. Unashindwa hata kufanya kazi za kila siku kwa kujisikia huifai tena hata kufanya kazi au anakuwa huna hamasa ya kufanya kazi. Hii inapelekea kuharibu maisha yako kabisa ya baadaye.

  Wengine huenda mbali zaidi hata kuona haifai tena kuishi kwa sababu sasa kila kitu kinaenda vibaya. Siwezi kujua kati ya watu waliojiua ni wangapi ni kwa sababu ya madhara ya punyeto lakini naomba isiwe wewe. Pamoja na kwamba unaweza kuwa umeshaathirika bado unaweza kuwa sawa kabisa kama wanaume/wanawake wengine.

  Nimeshuhudia mwanaume alifanya punyeto kwa miaka 15 hata baada ya kuoa bado alikuwa akiendelea. Aliachwa na wanawake watatu kwa sababu ya uwezo wake lakini akapona kabisa! Usikate tamaa!

  Madhara ya Kiroho

  Kila anayefanya punyeto anakuwa na taswira ya mwanamke (kama ni mwanaume) au mwanaume (kama ni mwanamke). Kwahiyo anakuwa akifanya kitendo hicho huku akivuta taswira kana kwamba yupo na yule wa jinsia tofauti. Kitendo hiki ni sio sawa kiroho.

  “lakini mimi nawaambia kila amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake” -Mathayo 5:28

  Maana hupelekea Mwenyezi Mungu kuvunja kanuni na maagizo ya

  “Usizini” -Kutoka 20:14.

  Mbali na kwamba mtu anajizolea laana pia anaharibu mwili wake na kutengeneza migogoro na matatizo baadaye katika familia yake.

  Usidanganyike kwa raha kitambo unayoweza kuipata kwa kujichua, kuna madhara makubwa kuliko ambavyo unaweza kufikiri.

  Tiba ya Madhara ya Punyeto

  Usiogope! 

  Hata kama umefanya punyeto kwa miaka 10 inawezekana ukapona kabisa! Nimeona. Muda wa matibabu unategemeana umeathirika kiasi gani.

  Kama umeathirika sana utatumia muda mwingi zaidi kupona kuliko ambaye ameathirika kidogo.

  Na matibabu yanategemea pia umeathirika kwa namna gani. 

  KUMBUKA: Magonjwa mengine yanaweza kuwa na chanzo zaidi ya kimoja. Sio kila upungufu wa nguvu za kiume au migogoro ya mahusiano ni kwa sababu ya punyeto. Ni muhimu kufahamu vizuri chanzo cha tatizo lako kabla ya kuanza kutibu.

  Mambo Muhimu ya Kufanya Kutibu Madhara ya  Punyeto

  Acha

  Bila kuacha huwezi kupona. Ni lazima uache kwanza mchezo huo kabla hujaanza kufanya tiba.

  Kama bado hujaacha na unapambana bado, soma ukurasa wa 41 wa kitabu cha TIBA YA MADHARA YA PUNYETO – Dr Nature. Hapo utakuta njia rahisi zilizowasaidia ambao walikuwa wamejaribu njia nyingi bila mafanikio.

  Fanya mazoezi ya nyonga

  Punyeto unaathiri misuli ya nyonga hasa kwa wanaume. Misuli ambayo inashikilia uume.

  Zoezi moja kukutengenezea nguvu

  https://youtu.be/adISVUkjbiQ?si=9AobDv9n1ebW8m69

   

  Chakula Hai

  Kula chakula bora inakusaidia kuharakisha matibabu. Kitakusaidia kurekebisha homoni na kukupatia virutubisho vitakavyokusaidia kupona haraka.

  Chakula hai ni chakula ambacho kwa sehemu kubwa kinatokana na mimea katika uasili wake. Yaani ule matunda kwa wingi, mbogamboga, nafaka nzima na njugu.

  Tazama hapa chini video —jinsi ya kupangilia vyakula..

  https://youtu.be/FhRE33hvvx0?si=eMlmcqYaMSJgDYsZ

  Ushauri

  Madhara mengine ya punyeto na saikolojia na hali yako kiroho. Hata kwa dawa bora sana bado hutapata kupona. Inahitaji upate mashauri ya kitaalamu.

  Dawa

  Kuna dawa nyingi zinazonadiwa kuwa zinatibu punyeto. Kama nilivyokuambia punyeto sio ugonjwa. Kinachotibiwa ni madhara yake. Na hakuna dawa ya kila kitu.

  Kuwa makini! Tibu kile kinachokusumbua kama madhara ya punyeto na sio kutibu punyeto.

  Kwenye kitabu changu cha TIBA YA MADHARA YA PUNYETO utajifunza yafuatayo:

    

    • Hatua kwa hatua jinsi ya kuacha punyeto hata kama umefanya kwa miaka 10

    • Madhara ya punyeto 

    • Jinsi ya kutibu madhara ya punyeto hatua kwa hatua

    • Mazoezi na chakula vitakavyokusaidia kupona.

    • Dawa rahisi unazoweza kuandaa nyumbani.

   Na haya ndio yaliyomo

   Jinsi ya kukipata

   Ni softcopy yaani kitabu ambacho unasoma kwenye simu au pc yako.

   Kina kurasa 91, kimeandikwa kiswahili ambacho utaelewa vizuri.

   Thamani ya kitabu Ni Tshs. 10,000.

   LAKINI,

   Kama daktari nimeguswa na tatizo lako, natoa OFA kwa watu 15 tu wakwanza kwa Tshs. 5,000 Badala ya Tshs. 10,000

   Bonus kwa watu 5 wa kwanza,

   Nitakupatia BURE semina ya kisaikolojia (audio) ambayo utajifunza elimu sahihi kuhusu tendo la ndoa na jinsi ya kukabiliana na upungufu wa nguvu za kiume unaotokana na saikolojia.

   Sio kila shida inahitaji dawa au chakula zingine zinahitaji maarifa ili kuweka sawa akili yako.

   Semina hizi huwa inalipiwa Tshs 35,000. Ikiwa utakuwa miongoni mwa watano (5) wa kwanza kununua kitabu nitakupatia semina BUREE!

   Semina Masaa 3

   Ukinunua SASA HIVI:

     

     • Utapata Kitabu Kwa Tshs. 5,000 Badala ya Tshs 10,000

     • Utapata Semina ya Saikolojia “JIPANGE” BURE yenye thamani ya Tshs 35,000.

     • Kweli sijawahi toa OFA kama hii. Ukiikosa umekosa kitu kikubwa sana.

     • Yaani utakuwa umeokoa Tshs 40,000.

    Lipia sasa hivi kuwahi OFA!!

    JInsi ya ulipia

    WARRANTY:

    Usipopenda kilichoandikwa ndani ya siku 7 nipigie simu nikurudishie pesa yako yote bila kukuhoji. Kwahiyo huna cha kupoteza!

      

      • Lipia sasa Tshs 5,000 kwenda

      • MPESA: 0767759137 YUSUFU FILEMON 

      • LIPA NAMBA YA TIGO: 9933745 DR NATURE

      • Ukishalipia nitumie screenshot ya mwamala wako whatsapp kwa namba hiyo hiyo (+255767759137)

     Kisha nitakutumia kitabu chako ndani ya masaa 24. Kama umeshalipia ndani ya masaa 24 hujapata kitabu nipigie kwa namba hiyo hiyo!

     Ukishalipia tumia namba au bofya hicho kitufe cha CHEKUNDU kunitumia screenshot ya mwamala Whatsapp

      

     Nina shuhuda za watu wengi sana waliohangaika kama wewe. Kwa kuwa na mambo nyeti wengi wanaogopa kutuma shuhuda zao, wananiambia kwa simu.

     Hizi ni baadhi ya shuhuda:

      

     Lipia sasa hivi kuwahi OFA!!

     JInsi ya ulipia

       

       • Lipia sasa Tshs 5,000 kwenda

       • MPESA: 0767759137 YUSUFU FILEMON 

       • LIPA NAMBA YA TIGO: 9933745 DR NATURE

       • Ukishalipia nitumie screenshot ya mwamala wako whatsapp kwa namba hiyo hiyo (+255767759137)

      Kisha nitakutumia kitabu chako ndani ya masaa 24. Kama umeshalipia ndani ya masaa 24 hujapata kitabu nipigie kwa namba hiyo hiyo!

      Ukishalipia tumia namba au bofya hicho kitufe cha CHEKUNDU kunitumia screenshot ya mwamala Whatsapp

       

      Mimi mwenye kujali mafanikio yako,

      Dr Nature.

      5 1 vote
      Article Rating
      Subscribe
      Notify of
      guest
      3 Comments
      Newest
      Oldest Most Voted
      Inline Feedbacks
      View all comments
      trackback

      […] Jifunze jinsi ya kutibu madhara mengine ya punyeti kwa kubofya hapa […]

      Ayubu Magashi
      21 December 2023 08:06

      Only Dr Nature can say the reality.., other Doctors can feed you with drugs pretending to cure Punyeto

      Share
      Scroll to Top