Tiba Kamili Ya Fangasi Kwenye Korodani – Komesha Fangasi Sugu Kwa Siku 3

Fangasi kwenye korodani sio tu kwamba wanakera, wanaweza kukuleta madhara makubwa endapo kama hawata tibiwa. Na hapa nimekualeza njia ya uhakika kutibu kwa siku 3 fangasi sugu kwenye korodani.