Fangasi kwenye korodani sio tu kwamba wanakera, wanaweza kukuleta madhara makubwa endapo kama hawata tibiwa. Na hapa nimekualeza njia ya uhakika kutibu kwa siku 3 fangasi sugu kwenye korodani.

Dalili Za Fangasi Kwenye Korodani

Zifuatazo ni dalili za fangasi kwenye korodani;

1. Kuwashwa: Unaweza kuhisi kuwashwa kwenye ngozi ya korodani. Na ukikuna kunatoka vidude vyeupe vyeupe. Inaweza kupelekea pale kwenye ngozi pakawa na michubuko na kuuma.

2. Mabadiliko ya rangi: Ngozi ya korodani inaweza kubadilika rangi, kuwa nyekundu au kijivu.

3. Unaweza kuona kuwepo kwa vipele au makovu kwenye ngozi ya korodani.

4. Kutoa harufu: Korodani inaweza kutoa harufu isiyo ya kawaida.

7. Kuharibika kwa ngozi: Ngozi ya korodani inaweza kuwa na madoa au kuharibika.

Tiba Ya Fangasi SUGU Kwenye Korodani Kwa Siku 3

Fuata maelekezo kwenye video hii kutengeneza dawa ya fangasi sugu nyumbani.

Jinsi Ya Kukomesha Fangasi Wanaojirudia rudia

Kuugua ugonjwa wa fangasi ni ishara kuwa kinga ya mwili imeshuka. 

Msingi wa kukomesha fangasi wanaojirudia rudia ni kuongeza kinga mwili.

Ili kupandisha kinga ya mwili unatakiwa kuachana na vitu vinavyoshusha kinga ya mwili na kufanya vinavyoongeza.

Epuka Vitu Hivi Vinashusha Kinga Ya Mwili

  • Sukari na wanga rahisi kama nafaka zilizokobolewa. Epuka soda, juisi za viwandani
  • Epuka pombe
  • Uvutaji wa sigara na madawa ya kulevya
  • Dawa za kuua bacteria ‘antibiotics’
  • Dawa za kushusha kinga ya mwili ‘steroids’ kama prednisone
  • Lishe duni yenye wingi wa mafuta na sukari
  • Msongo au sonona

Fanya Hivi Vinapandisha Kinga ya Mwili

  • Kula Chakula Hai
  • Fanya Mazoezi
  • Kunywa maji angalau lita 2 kwa siku
  • lala masaa 6-7 kila usiku

Madhara ya Kutotibu Fangasi Kwenye Korodani

4.3 3 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Newest
Oldest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Share
Scroll to Top