Tetekuwanga ‘Rubella’: Dalili, Sababu, Tiba na Kinga

Tetekuwanga ‘Rubella’ ni ugonjwa unasosababishwa na virusi. Unaweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.