Jinsi ya Kutibu Nyama za Pua Sugu (+ Ushuhuda: Alivyotibu Nyama za Pua na Kamasi Zilizodumu Kwa Miaka 15

Nyama za Pua ‘Nasal Polyps’

Polyps za pua ni ukuaji wa tishu usio wa kawaida ambao hutokea katika eneo la pua au sinuses. Tishu hizo hukua na kuwa na umbo la kifupa na zinaweza kuwa laini au ngumu.

Kinachosababisha Nyama za Pua Kuota

Hakuna sababu ya moja kwa moja inayofahamika kuwa ndio inayosababisha nyama za pua kuota.

Hata hivyo..

Kuna mambo kadhaa yanayochukuliwa kuwa sababu au mambo yanayochangia kuongezeka kwa hatari ya kuwa na nyama ‘polyps’ za pua.

Mambo hayo ni pamoja na:

Mzio ‘allergy’

Watu wenye historia ya mzio, kama vile mzio wa mazingira kama vumbi au mbelewele na chavua ya mimea, mzio wa chakula aina fulanj, wako katika hatari kubwa ya kuwa na polyps za pua.

Wengi wanaopata shida hii inaanza kama allergy au mafua fulani yasiyoisha na baadaye dalili zinazidi kuwa mbaya.

Maambukizi ya Mara Kwa Mara

Maambukizi ya mara kwa mara katika pua na sinusitis yanaweza kusababisha uvimbe wa kudumu na ukuaji wa polyps.

Magonjwa

Magonjwa kama vile rhinitis na cystic fibrosis au magonjwa ya kinga yanaweza kuongeza hatari ya kuwa na polyps za pua.

Uvutaji sigara

Uvutaji sigara au kuepuka moshi wa sigara unaweza kuathiri mfumo wa upumuaji na kuongeza hatari ya kuwa na polyps za pua.

Kurithi

Ingawa sio wazi kabisa, kuna uwezekano wa kuwa na uhusiano wa urithi katika kuongezeka kwa hatari ya kuwa na polyps za pua.

Hata kama sio kurithi moja kwa moja kwa maana ya vinasaba lakini mtu anaweza akarithi tabia na epigenetics zenye mwelekeo wa kupata shida hii.

Ni muhimu kukumbuka kuwa sababu za polyps za pua zinaweza kutofautiana kwa kila mtu na mara nyingine haziwezi kutambuliwa kwa usahihi.

Dalili za Nyama ‘polyps’ za Pua

Baadhi ya dalili za polyps za pua ni pamoja na:

  • Kupumua kwa shida kupitia pua. Mtu unajikuta unataka kupumulia mdomo.
  • Pua kuziba kwa kamasi na maji maji

Kuwa na hisia ya kutokuwa na ladha au harufu

Kupoteza kusikia au kusikia sauti kama vile kuna makelele masikioni

Kupiga chafya mara kwa mara

Kukohoa mara kwa mara

  • Kutokwa na kamasi nyingi puani

Kupata maumivu ya kichwa

Makundi ya Watu Wanaoathirika Zaidi

Polyps za pua zinaweza kuathiri watu wa kila umri, lakini kuna makundi ya watu ambao wako katika hatari zaidi. Hizi ni pamoja na:

  1. Watu wenye historia ya mzio, kama vile mzio wa mazingira au mzio wa chakula.
  2. Watu wenye historia ya mara kwa mara ya maambukizi ya pua, mafua yasiyoisha au sinusitis.
  3. Watu wenye magonjwa kama rhinitis, cystic fibrosis na shida ya mfumo wa kinga ya mwili.

Jinsi ya kujikinga

Kujikinga na polyps za pua inaweza kuwa changamoto, lakini hatua zifuatazo zinaweza kusaidia:

  1. Kama unafahamu kuwa una mzio ‘allergy’ na kitu fulani jitajidi kukiepuka.
  2. Tiba vizuri maambukizi ya pua na sinusitis
  3. Epuka uvutaji wa sigara na moshi wa sigara.

Matibabu

Matibabu ya polyps za pua hutofautiana kulingana na ukali wa dalili na athari kwa maisha ya mtu.

Baadhi ya njia za matibabu ni pamoja na:

Dawa

Daktari anaweza kutoa dawa za kupunguza uvimbe na kudhibiti dalili. Dawa hizo zinaweza kuwa za kunywa au za kutumia kwa njia ya pua.

Upasuaji

Katika hali kali, upasuaji unaweza kuhitajika kuondoa polyps. Upasuaji unaweza kufanywa kwa njia ya endoscopy ambapo polyps zinaondolewa kwa kutumia vifaa maaalumu.

Seli shina za mimea

Hizi ni aina ya tiba kwa kutumia teknolojia ya Selishina ambayo inasaidia kuzalisha seli, kukarabati seli na kurutubisha seli.

Kwa nyama za pua inasaidia kudhibiti mfumo wa kinga ya mwili, kutibu mzio ‘allergy’ na hivyo kuondoa chanzo cha ugonjwa.

Hata kama imeshindikana kwa dawa za kawaida pamoja na upasuaji, bado zinaweza kusaidia.

Tazama huu ushuhuda…

Hiyo aliyotumia ni product inaitwa UG CARE PLUS.

Imesajiliwa na serikali ni salama na haina madhara kwa yeyote. Hata watoto wadogo wanaweza kitumia.

Zaidi..

Inatibu magonjwa mengine sugu zaidi ya 300 ikiwemo saratani, kisukari. Presha, magonjwa ya akili nk.

Kupata Ug Care plus.

Simu/Whatsapp: +255 767 759137 | real.dr.nature@gmail.com

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
Share
Scroll to Top