Dawa Asili Ya Kikohozi Msimu Wa Baridi Na Mvua

Dawa ya KIKOHOZI Msimu Huu Wa Baridi na Mvua

Mahitaji:
– Apple cider Vinegar – Kijiko cha chakula 1 au Juice ya limau/ndimu – kijiko cha chakula 1
– Asali mbichi – Kijiko cha chakula 1
– karafuu ya unga – 1/2 kijiko cha chai
– Mdalasini ya unga – 1/4 kijiko cha chai
– Maji moto – Kikombe 1

Changanya vyote kwa pamoja kunywa asubuhi na jioni. Kikohozi kitapona chap!

Inasaidia pia
✅ Kupunguza maumivu wakati wa period
✅ Inaongeza pia libido kwa wanaume
✅ Ni chai nzuri kwa wanaopambana na uzito na kitambi

Epuka kutumia ANTIOBIOTICS kama sio lazima! Unajiua! Unaharibu kinga ya mwili na unajiletea usugu wa madawa.

Sio kila homa ukanunue antiobiotics, vingine ni hali ya kawaida ya mwili kupambana boost kinga yako, anza na vitu rahisi..

Pale unapoona hali ni serious nenda ukapime,
Daktari atakuandikia dawa inayofaa.

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Newest
Oldest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Share
Scroll to Top