Dr Nature

Diet ya Nyama ‘KETOGENIC’ Ni Ergolytic?

Mwezi September 2023 Brother mmoja miaka 32 anaitwa Nasibu Jr alijiunga na program yangu ya PERMANENT WEIGHTLOSS. Akaifanya kwa bidii kwa wiki 5. Kisha jioni moja ananipigia simu kunishukuru. Amekuwa akipambana na uzito mkubwa kwa miaka miwili. Uzito wake uliongezeka hadi kufikia 98kg lengo lake afike 65kg. Katika harakati zake za kutafuta mbinu alikuwa kwenye …

Diet ya Nyama ‘KETOGENIC’ Ni Ergolytic? Read More »

Jinsi ya Kupunguza Kalori Bila Kujinyima Chakula

Jinsi ya Kupunguza Kalori Bila Kujinyima Chakula Tabibu mmoja aliwahi kusema ‘’Aliyekula hadi akaugua inatakiwa kufunga hadi apone’’. Ukiwa na kitambi au uzito mkubwa ni matokeo ya kulundikana kwa ziada ya chakula katika namna ya mafuta. Kufunga ni salaha nzuri ya kukusaidia kuufanya mwili utumie hifadhi hiyo ya chakula iliyopo mwilini tayari. Unapopambana na kupunguza …

Jinsi ya Kupunguza Kalori Bila Kujinyima Chakula Read More »

Kwanini KUSHINDA NJAA Sio Njia Nzuri Kupunguza Uzito Milele?

Kwanini KUJINYIMA Chakula Sio Njia Nzuri ya Kupunguza Uzito na Kitambi Milele? Watu wengi huenda na wewe ni miongoni mwao wanaamini kuwa wamenenepa kwa sababu wamekula sana. Na hivyo ili wapungue walazimishe kupunguza kula (kiasi cha chakula)- ‘Washinde na njaa’ Siku zote, kitu kinachoweza kukupatia matokeo ya kudumu ya kupunguza uzito mkubwa lazima kiwe na …

Kwanini KUSHINDA NJAA Sio Njia Nzuri Kupunguza Uzito Milele? Read More »

Parachichi ‘Ovacado’ Inanenepesha?

Parachichi kama ilivyo vyakula hai vingine vinaufanya mwili uwe na afya njema kwa ujumla. Matumizi ya chakula hai yanakusaidia kuwa na mwili wako katika ubora zaidi. Ikiwa umedhoofu umekuwa na uzito mdogo sana inakusaidia kukuongezea uzito ufikie uzito unaokustahili. Nimeona kwa wagonjwa kama wagonjwa kisukari waliokuwa wamekonda kwa sababu ya ugonjwa wametumia parachichi miongoni mwa …

Parachichi ‘Ovacado’ Inanenepesha? Read More »

Chakula Hai – Mwongozo wa Tiba Lishe (+Ratiba ya Siku 7)

Mwongozo wa lishe haujawahi kuwa rahisi kama hivi.. Maelfu ya watu wenye magonjwa na malengo mbalimbali ya kiafya wamefuata namna hii rahisi ya kula na matokeo yake ni kama muujiza! Mbali na kutibu mamia ya magonjwa ambayo vinginevyo hayatibiki au yangekughalimu mamilion kutibu, aina hii ya kula itakusaidia kuongeza kasi ya mwili kuchoma mafuta, kuondoa …

Chakula Hai – Mwongozo wa Tiba Lishe (+Ratiba ya Siku 7) Read More »

Vyanzo Vya Maji Ya Kunywa Na Usalama Wake

VYANZO VYA MAJI YA KUNYWA NA USALAMA WAKE Na Umuhimu Wake Katika Kupunguza Uzito Imezoeleka kusikia ushauri kuwa kunywa maji mengi yanasaidia kupunguza uzito. ‘Ni Kweli’.. Kivipi? Ukinywa maji mengi unapunguza kiasi cha soda au energy drink ambacho utakunywa. inatokea ‘automatically’.. hii inakusaidia kukupunguzia mafuta yanayotunzwa Hii ni homoni ambayo inahusika na kuongeza KIU ya …

Vyanzo Vya Maji Ya Kunywa Na Usalama Wake Read More »

Faida Ya Mbegu Ya Parachichi – Jinsi ya Kuandaa na kutumia

FAIDA ZA MBEGU ZA PARACHICHI, MAGONJWA YANAYOTIBIWA NA UNGA WA MBEGU ZA PARACHICHI Limetumika kwa miaka mingi kama tunda na pia kama mboga. Kwa sababu ya wingi wa virutubisho vyake linatumika kutibu maradhi ya shida ya mmeng’enyo wa chakula, moyo na mfumo wa damu, urutubishaji wa nywele na ngozi, na kuboresha afya. Mbegu yake inatumika …

Faida Ya Mbegu Ya Parachichi – Jinsi ya Kuandaa na kutumia Read More »

Share
Scroll to Top