Jinsi ya Kutibu (Kupona) Pumu ‘Asthma’ Sugu Milele

Ugonjwa wa pumu ‘asthma’ ni ugonjwa unaosababisha kubana kwa kifua, kukohoa na kushindwa kupumua kunakotokana na mfumo wa kinga kwenye mfumo wa upumuaji kukosa udhibiti mzuri wa mabadiliko ya mazingira ya ndani na nje ya mwili.

Sababu za Ugonjwa wa Pumu

uGonjwa wa pumu ‘asthma’ unasababishwa na mfumo wa kinga ya mwili kwenye mapafu kukukosa uwezo wa kustahimili na kuamua kwa usahihi nguvu ya kutumia kupambana na mabadiliko ya mazingira.
Mfumo unajikuta unatumia nguvu kubwa kupambana na kitu kidogo. Fikiria, nchi imevamiwa na mwizi mmoja halafu inapeleka jeshi kubwa la nchi kavu na anga kupambana na huyo mwizi moja mwenye panga.

Kilichofanyika ni kizuti lakini katika namna ambayo sio ya busara a hivyo inaweza kuleta hasara kwa nchi na uharibifu wa mazingira na maisha ya watu.

Mfumo wa hewa nao pia upo katika hatari ya kukutana na wageni mbalimbali kuitoka nje. Wageni kama wadudu, kemikali mbalimbali kwenye hewa, mabadiliko ya jotoridi la mazingira. Katika hali hizi, mfumo wa kinga kwenye mfumo wa hewa lazima uwe na uwezo wa kuamua utumie nguvu kiasi gani wakati gani.
Pale ambapo mbelewele chache za mazao au vimbi kidogo tu zinasababisha seli za mfumo wa kinga ya mwili  kuanzisha mashambulizi ya kufa mtu hapo ndipo shida inapokuja. Na mtu anakuwa anapata shida ya kifua, kukohoa na kushindwa kupumua vizuri ndio ugonjwa tunaitwa pumu au asthma.

Dalili za Ugonjwa wa Pumu

Dalili za ugonjwa wa pumu zinaweza kutofautiana kulingana na kila mtu, lakini zinaweza kujumuisha:
– Kukohoa, hasa usiku au asubuhi mapema
– Kupumua kwa shida, hasa wakati wa shughuli za mwili
– Kifua kubana au maumivu kifuani
– Kupata hisia ya kukwaruza au kusikia pumzi haitoshi

Matibabu ya Ugonjwa wa Pumu

Matibabu ya ugonjwa wa pumu yaliyozoeleka ni yale ya kutumia dawa kila siku au ukiwa katika mazingira yanayoweza kukusababishia shida. Na pale unapopata shambulio unaenda hositali kuwekewa oxygen na kupewa dawa zaidi.

Na pia inajumuisha kuepuka mazingira yanayoweza kukusababishia shida ya kifua. Mara nyingi mgonjwa anakuwa anafahamu kabisa kwamba nikikutana na vumbi, baridi, moshi, manyonya ya wanyama, mbelewele, mstuko, perfume au harufu kali, nikikasirika, nikikimbia nk napatwa na shida. Hivyo mgonjwa anashauriwa kuepuka. Lakini vingine haviepukiki na hivyo inahitajika matibabu ya uhakika na sio kuepuka uhalisia wa maisha ya kila siku.

Tiba Ya Pumu Kwa Seli Shina

Hii ni tiba ambayo inatokomeza ugonjwa moja kwa moja.. hautausikia tena milele wala hutaishi kwa masharti kama sasa hivi ilivyo.

Seli shina ni jina lingine la SELI MAMA..

Ili uelewe vizuri, jifikirie wewe uliye na trioni 75-100 za seli lakini umetokana na seli moja tu baada ya mbegu na yai kukutana.

Kutoka kwenye hiyo seli moja umapata matrioni ya seli ambayo yanaunda viongo na mwili kwa ujumla.

Kila siku seli zinakufa na seli zinazaliwa ili kufidia zile zilizokufa.

Seli zinazozaliwa zinatokana na seli shina zinazohusika na kutengeneza seli husika.

Kadri umri unavyosonga UBORA na WINGI wa seli shina za mtu zinapungua.

Matokeo yake viungo na tishu za mwili zinakuwa zinaharibika kwa kasi kuliko uwezo wa mwili kurudishia seli hai.

Kutegemeana na aina ya seli zilizoathirika utapata ugonjwa wa eneo hilo ambayo tunaitwa magonjwa ya UCHAKAVU WA MWILI au magonjwa ya UZEE

Endapo mtu seli shina zake zikiwezeshwa akawa nazo nyingi zinazofanya kazi vizuri..

Anaweza akapona ugonjwa wowote kwa haraka sana!

Kwa miaka mingi imebaki kuwa fumbo, utaalamu wa kupata seli shina kirahisi.

Utaalaamu uliokuwepo ilikuwa mtu lazima apate selishina kutoka kwa mtu mwingine.. matibabu ambayo ni ghali sana na ya hatari

Wengi wetu ni suala ambalo hatuwezi hata kuliwaza, haliwezekani.

Mageuzi katika sayansi katika karne ya 21 yamegundua jinsi ambavyo SELI SHINA za baadhi ya MIMEA zinaweza kuleta matokeo yale..

Tena

– Gharama yake sio kubwa
– ⁠Hazina kumkataa mtu kwamba amepata rejection kuwa haziendani na mwili
– ⁠Mtu yeyote anaweza kupata na kutumia bila masharti

Seli Shina hizi zinafanya kazi zifuatazo

1. Zinaufanya mwili kuwa na seli shina kwa wingi zenye ubora na hivyo mwili unakuwa na uwezo wa kujitibu magonjwa yote!

2. Inahuissha seli ziweze kufanya kazi yake kwa mpangilio unaotakiwa mwilini

Zile seli ambazo zimenyong’onyea kwa sababu ya mtindo mbaya wa maisha inazifufua zifanye kazi vizuri

3. Ina RUTUBISHA

Kuna magonjwa mengine ambayo yanakuja kwa sababu ya upungufu wa virutubisho muhimu kama Potassium seli shina inarutubisha hizo seli

Kwa Pumu “Asthma’ seli shina zinatengeneza upya seli za kinga ya mwili ziwe na utimamu wake. Ziwe na busara kujua wakati gani zitumie nguvu kiasi gani kupambana na wageni. Pia zinarutubisha seli zilizopo ili ziwe na uwezo timamu wa kuwasiliana na mazingira na kufanya maamuzi sahihi.

Matokeo yake ugonjwa unapotea milele, sio kutuliza tu dalili kama matibabu mengine yalivyo. Ili kupona kabisa mgonjwa anatakiwa kutumia kwa miezi 3..

Japo matokeo atayaona ndani ya wiki ya kwanza ya kuanza kutumia seli shina.

Seli shina zinatumika kwa kuweka chini ya ulimi kwahiyo sio ya kunywa wala ya kumeza. Kama umeambiwa pumu ‘asthma’ haiponi kabisa basi huna ufahamu na maajabu ya seli shina.

Shuhuda Waliopona Pumu ‘Asthma’ Milele

 

Na

Dr Nature

Simu/Whatsapp: +255767759137

5 1 vote
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Newest
Oldest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Share
Scroll to Top