Seli shina ni jina lingine la SELI MAMA..
Ili uelewe vizuri, jifikirie wewe uliye na trilioni 75-100 za seli lakini umetokana na seli moja tu baada ya mbegu na yai kukutana.
Kutoka kwenye hiyo seli moja umepata matrilioni ya seli ambayo yanaunda viungo na mwili wako kwa ujumla.
Kila siku seli zinakufa na seli zinazaliwa ili kufidia zile zilizokufa.
Seli zinazozaliwa zinatokana na seli shina zinazohusika na kutengeneza seli husika.
Kadri umri unavyosonga UBORA na WINGI wa seli shina za mtu zinapungua.
Matokeo yake viungo na tishu za mwili zinakuwa zinaharibika kwa kasi kuliko uwezo wa mwili kurudishia seli hai.
Kutegemeana na aina ya seli zilizoathirika utapata ugonjwa wa eneo hilo ambayo tunaitwa magonjwa ya UCHAKAVU WA MWILI au magonjwa ya UZEE
Endapo mtu seli shina zake zikiwezeshwa akawa nazo nyingi zinazofanya kazi vizuri..
Anaweza akapona ugonjwa wowote kwa haraka sana!
Kwa miaka mingi imebaki kuwa fumbo juu ya utaalamu wa kupata seli shina kirahisi.
Utaalaamu uliokuwepo ilikuwa mtu lazima apate selishina kutoka kwa mtu mwingine.. matibabu ambayo ni ghali sana na ya hatari
Wengi wetu ni suala ambalo hatuwezi hata kuliwaza, haliwezekani.
Mageuzi katika sayansi katika karne ya 21 yamegundua jinsi ambavyo SELI SHINA za baadhi ya MIMEA zinaweza kuleta matokeo yale yale..
Tena kwa
- Gharama yake sio kubwa
Hazina kumkataa mtu kwamba amepata rejection kuwa haziendani na mwili
Mtu yeyote anaweza kupata na kutumia bila masharti
Seli Shina hizi zinafanya kazi zifuatazo:
1. Zinaufanya mwili kuwa na seli shina kwa wingi zenye ubora na hivyo mwili unakuwa na uwezo wa kujitibu magonjwa yote!
2. Inahusisha seli
Zile seli ambazo zimenyong’onyea kwa sababu ya mtindo mbaya wa maisha inazifufuliwa zifanye kazi vizuri
3. Ina RUTUBISHA
Kuna magonjwa mengine ambayo yanakuja kwa sababu ya upungufu wa virutubisho muhimu kama Potassium seli shina inarutubisha hizo seli
KISUKARI
Kuna aina ya kwanza na aina ya pili..
Kisukari aina ya kwanza..
Kinatokea pale ambapo kongosho linashambuliwa na hivyo kushindwa kuzalisha insulini ya kutosha au inazalisha insulin yenye ubora
Hapa seli shina inaenda kuzalisha seli timamu ya kinga ya mwili na seli timamu za kongosho✅
Na mtu anapona kabisa!
Ufanisi wake ni 50-80%
Kisukari AINA YA PILI..
Hiki kinaanza na usugu wa insulini kisha kongosho linaweza kuchoka pia..
Hapa selishina zinasadiai kuleta virutubisho vya kutosha kuondoa usugu wa insulin na kuzalisha seli timamu za kongosho na mishipa ya damu.
Seli shina sio tu kwamba inatibu KISUKARI kabisa pia..
- Inatibu madhara ya kisukari kama
– Figo kufeli
– Macho kuharibika
– Ugonjwa wa moyo na mishipa ya damu
– vidonda vya kisukari nk
Ili kupona kabisa mgonjwa anatakiwa kutumia kwa miezi 3..
Japo matokeo atayaona ndani ya wiki ya kwanza ya kuanza kutumia seli shina.
Seli shina zinatumika kwa kuweka chini ya ulimi kwahiyo sio ya kunywa wala ya kumeza..
Kama umeambiwa kisukari hakiponi unywe dawa milele..
Ni kwa sababu daktari wako hajafahamu bado SELI SHINA
Shuhuda
Bibi Kapona Kisukari Cha Miaka 15
Na
Dr Nature +255767759137