SELI SHINA 'STEM CELLS' Zinaponya KISUKARI Aina ya 1&2 Lakini Hizi ni Changamoto Zake...

seli shina teknolojia

Kwa teknolojia tuliyofikia kwa sasa kisukari sio ugonjwa usiotibika!

Hata hivyo bado wengi wanaelimu ya kizamani kwamba ukiumwa kisukari utameza dawa Maisha yako yote..

Ndani ya  dakika 2 zijazo utagundua jinsi wengine wanavyopona kabisa kisukari kwa kutumia njia hii iliyofayiwa utafiti kwa miaka 29..

Na jinsi wewe pia unaweza ukafanya kama wao ukatua mzigo wa kisukari milele.

Njia hiyo ni..

“Matibabu Kwa SELI SHINA Yaani Stem cells Therapy

Kabla sijazama kukupa madini.. inawezekana unajiuliza 

….Seli Shina ni kitu gani…?

Ukiwa mtu mzima mwili wako wote unakuwa na wastani wa seli (80,000,000,000,000 hiyo ni trillion 80)

Na hizo zote zimetokana na seli moja iliyoundwa siku mbegu ya baba iliporutubisha yai la mama.. ni ajabu sana!

Kwahiyo..

Kutoka kwenye seli moja ambayo ni seli mama au SELI SHINA umepata matrioni ya seli yanayounda viungo vyote vya mwili wako.

Kila siku seli zinakufa na seli zinazaliwa ili kufidia zile zilizokufa ili maisha yako yaendelee.. 

Seli zinazaliwa kutoka kwa seli shina zinazohusika na kutengeneza seli husika.

Kadri umri unavyosonga UBORA na WINGI wa seli shina za mtu zinapungua.

Matokeo yake viungo na tishu za mwili zinakuwa zinaharibika kwa kasi kuliko uwezo wa mwili kurudishia seli hai.

Kutegemeana na aina ya seli zilizoathirika zaidi utapata ugonjwa wa eneo hilo ambayo tunaitwa magonjwa ya UCHAKAVU WA MWILI au magonjwa ya UZEE

Pale ambapo kunakuwa na uchakavu wa seli kiasi ambacho zinapoteza uwezo wake wa kusikia homoni ya insulin unapata kisukari aina ya 1..

Na ikiwa ni seli za kongosho zimechakaa au zimeharibiwa kiasi kwamba hazizalishi homoni ya insulin ya kutosha au yenye ubora unapata kisukari aina ya 2..

Habari kamili hii hapa..!

Novemba Mwaka 2018..

Jukwa (journal) kubwa linalochapisha tafiti zinahusiana na matibabu kwa seli shina  linaloitwa SCI (stem cells Investigation) lilichapisha utafiti huu

….Uliohusua matokeo ya matibabu ya seli shina kwa wagonjwa wa kisukari..

Walichambua tafiti 4,629 zilizowahi kufanyika kuhusu matibabu ya seli shina. Katika hizo tafiti ziote zilitumika aina tano (5) za seli shina:

1.    Seli shina kutoka kwenye uroto wa mifupa ya binadamu zinazotengeneza mifupa, misuli, gegedu yaani cartilage na seli za mafuta.. hizi seli shina zinaitwa “Bone marrow mesenchymal stem cells

2.    Seli shina kutoka kwenye uroto wa mifupa ya binadamu zinazotengeneza seli za damu.  Hizi zinaitwa “Bone marrow hematopoietic stem cells

3.    Seli shina za kondo la nyuma la vichanga vya binadamu “umbilical cord stem cells

4.    Adipose stem cells ni seli shina kutoka kwenye seli za mafuta ambazo zinazalisha seli za mafuta, mifupa, misuli na mishipa ya damu

5.    Fetal stem cells ni seli shina za vichanga ambavyo bado havijazaliwa, hizi zinaweza kuunda aina nyingi sana za viungo mwilini

Seli shina hizi wagonjwa walipatiwa kwa kudungwa sindano kwenye mishipa au kuchomwa sindano kwenye kongosho lenyewe.

Na haya ndio matokeo yake;

·         Uharibifu unaotokana na sukari nyingi kwenye damu ulipungua kwa wote wenye kisukari aina ya 1 na 2, ilioneshwa kwa kipimo cha HbA1c

·         Kuongezeka kwa C-peptide protini kwa wenye kisukari aina ya 1 (ambacho ni kitu kizuri kuonesha mgonjwa anaendelea vizuri)

·         Kiasi cha insulin nayohitajika kwa wenye kisukari aina ya 2 (inaonesha pia mgonjwa anaendelea vizuri)

Inawezekana nimekuacha mahali kwa sababu ya misamiati ya kidaktari.. nitafafanua..

C-peptide ni aina ya inayozalishwa kwa kiwango sawa na insulin kwenye kongosho.. kwahiyo ukitaka kujua kongosho linazalisha insulin kwa kiasi gani unaweza ukapima c-peptide.

Kwenye kisukari aina ya 1 inakuwa kidogo sana au haipo na kwenye kisukari aina ya 2 inakuwa nyingi sana kupita kiasi.

HbA1c ni kipimo kinachoonesha wastani wa uharibifu wa sukari kwa miezi 3 mfululizo. Unapofanya matibabu % kwenye kipimo hiki ikipungua inamaanisha kuwa matibabu hayo yanakusaidia.

Changamoto zake nitakuonesha ndani ya sekunde chache zijazo…

diva secret

Hata hivyo…

Mbali na maendeleo hayo katika matibabu, teknolojia ya sasa imetuwezesha kupata..

…”seli shina kutoka kwenye matunda na mimea tiba.”.

Ambazo seli shina hizi zinaweza kuhamasisha mwili kuzalisha seli zenye utimamu wa kufanya kazi katika kiungo chochote.

Kwa wenye wenye kisukari inawasaidia kutibu kabisa kisukari na madhara yake na kuwaondolea kabisa mzigo wa kunywa vidonge au kuchomwa sindano kila siku katika Maisha yao.

Teknolojia imeruhusu seli shina hizi zipatikane kirahisi kwa bei ndogo na matumizi yake hayahitaji daktari bingwa, ila kila mtu anaweza kutumia na akapona kabisa kisukari aina ya 1 na ya 2.

Ona hapa tofuati ya matibabu ya seli shina zinazotokana na wanyama na zile zinazotokana na mimea..

Kulingana na kutofautiana kwa matibabu kwa seli shina za binadamu na seli shina za mimea

1. Ufanisi

Zote zinamatokeo mazuri kuponya kisukari aina ya 1 na 2 japokuwa seli shina za wanyama zina ufanisi mdogo kwa sababu 

Zinaongeza c-peptide kwa wenye kisukari aina ya 2 (sio kitu kizuri, hii ni changamoto)

Wakati seli shina zinazotokana na mimea..

Zinapandisha c-peptide kwa wenye kisukari aina ya 1 na kupunguza kwa wenye kisukari aina ya 2 (ni kitu kizuri, ndivyo inavyotakiwa)

2. Gharama na Upatikanaji

Seli shina za wanyama hazipatikani kirahisi na bei yake ni kubwa sana ukilinganisha na seli shina za mimea

Zinapatikana kwenye baadhi ya clinic kwenye nchi zilizoendelea wakati seli shina za mimea hata hapa kwetu Tanzania tunazo.

Bei ya kufanya huduma mara moja kuwekewa seli shina za wanyama ni karibia Tshs Milioni 50, ikiwa utatakiwa kufanyiwa mara kadhaa utalipa zaidi.

Wakati seli shina za mimea dozi nzima ya miezi mitatu ni Tshs Milioni 1 na nusu tu.

3. Uhalali

Upatikanaji wa seli shina za wanyama unahusisha kutumia sehemu ya miili ya binadamu hasa vichanga. Kitendo hiki kinachoche kutoa mimba na hivyo ni haramu kwa baadhi ya nchi na dini

Kwa upande mwingine seli shina kutoka kwenye matunda na mimea tiba kila moja anaweza kutumia.

4. Matumizi

Seli shina za wanyama zinaugumu wa kutumia kwa sababu zinahitaji awepo daktari bingwa wa matibabu hayo maana zinawekwa kwenye mishipa ya damu au kongosho kwa sindano.

Kwa upande wa seli shina za mimea ni rahisi kwa sababu zinatumika kwa kuweka chini ya ulimi.. 

Yeyote hata mgonjwa mwenyewe anaweza akajihudumia nyumbani.

sublingual adminisntsration

Jedwali la utofuti kwa ufupi..

 

Seli shina za binadamu

Seli shina za mimea

HbA1c

Zinapunguza

Zinapunguza

c-Peptide

Zinaongeza kwa wenye kisukari aina ya 2 (sio kitu kizuri, hii ni changamoto)

Zinapandisha kwa wenye kisukari aina ya 1 na kupunguza kwa wenye kisukari aina ya 2 (ni kitu kizuri, ndivyo inavyotakiwa)

Gharama

Wastani wa Tshs Milioni 50 kufanya mara moja, kama itahitajika kufanya mara kadhaa kwa mwezi Gharama inaongezeka

Tshs Milioni 1 na nusu dozi kamili ya miezi 3

Upatikanaji

Ni mgumu sana, huduma inapatikana baadhi ya clinic kwenye nchi zilizoendelea

Zinapatikana kirahisi hata kwa nchi zinazoendelea kama hapa Tanzania

Maudhi

Kuna maudhi madogo madogo

Kuna maudhi madogo madogo

Uhalali

Inapingana na baadhi ya maadili katika jamii kwa kuwa inaweza kuhamasisha utoaji mimba na kuua vichanga kupata seli shina

Ni halali kwa kila mtu duniani kwa kuwa inatumia seli shina za matunda na mimea tiba

Matumizi

Ni ngumu: Inahusisha kuchomwa sindano kwenye mishipa au kwenye kongosho na hivyo inahitaji daktari bigwa katika eneo hilo

Ni Rahisi: Mgonjwa anaweza chini ya ulimi haihitaji daktari hata mgonjwa mwenyewe anaweza kufanya nyumbani

Bibi Kapona Kisukari Cha miaka 15 Kwa Seli Shina

Mawasiliano:

Simu/Whatsapp: +255-767-759-137
Email: real.dr.nature@gmail.com

Au Bofya HAPA

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Newest
Oldest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Share
Scroll to Top