Fangasi kwenye korodani sio tu kwamba wanakera, wanaweza kukuleta madhara makubwa endapo kama hawata tibiwa. Na hapa nimekualeza njia ya uhakika kutibu kwa siku 3 fangasi sugu kwenye korodani.
Dalili Za Fangasi Kwenye Korodani
Zifuatazo ni dalili za fangasi kwenye korodani;
1. Kuwashwa: Unaweza kuhisi kuwashwa kwenye ngozi ya korodani. Na ukikuna kunatoka vidude vyeupe vyeupe. Inaweza kupelekea pale kwenye ngozi pakawa na michubuko na kuuma.
2. Mabadiliko ya rangi: Ngozi ya korodani inaweza kubadilika rangi, kuwa nyekundu au kijivu.
3. Unaweza kuona kuwepo kwa vipele au makovu kwenye ngozi ya korodani.
4. Kutoa harufu: Korodani inaweza kutoa harufu isiyo ya kawaida.
7. Kuharibika kwa ngozi: Ngozi ya korodani inaweza kuwa na madoa au kuharibika.
Tiba Ya Fangasi SUGU Kwenye Korodani Kwa Siku 3
Fuata maelekezo kwenye video hii kutengeneza dawa ya fangasi sugu nyumbani.
Jinsi Ya Kukomesha Fangasi Wanaojirudia rudia
Kuugua ugonjwa wa fangasi ni ishara kuwa kinga ya mwili imeshuka.
Msingi wa kukomesha fangasi wanaojirudia rudia ni kuongeza kinga mwili.
Ili kupandisha kinga ya mwili unatakiwa kuachana na vitu vinavyoshusha kinga ya mwili na kufanya vinavyoongeza.
Epuka Vitu Hivi Vinashusha Kinga Ya Mwili
Sukari na wanga rahisi kama nafaka zilizokobolewa. Epuka soda, juisi za viwandani
Epuka pombe
Uvutaji wa sigara na madawa ya kulevya
Dawa za kuua bacteria ‘antibiotics’
Dawa za kushusha kinga ya mwili ‘steroids’ kama prednisone