Permanent Weightloss – Maelezo

PERMANENT WEIGHTLOSS

Hii ni program iliyoanzishwa na kuendeshwa na Dr Nature, inayokusaidia kupuguza uzito mkubwa na kitambi kiafya milele (kwa namna ambayo ni endelevu)

FAIDA ZAKE

 • Inakusaidia kufikia lengo lako la uzito au kuondoa kitambi bila kuhangaika.. ‘Punguza Uzito Ukiwa Umelala’
 • Inakusaidia kutibu sehemu kubwa ya magonjwa kama vidonda vya tumbo, shida ya joint na mifupa, maumivu, mvurugiko wa homoni, nk
 • Ni salama, rahisi na yenye ufanisi kwa asilimia 100%

INAFANYIKAJE?

Kuna mambo 5 unatakiwa kuyafahamu:

 1. Chakula Hai

Hapa unajifunza jinsi ya kuchagua, kuandaa na kupangilia chakula kinachotokana na mimea kwa uasili wake. Utakula wingi wa matunda, mbogamboga, nafaka nzima, njugu na jamii ya kunde kwa mpangilio maalumu.

 1. Mazoezi

Utaoneshwa aina ya mazoezi, muda sahihi wa kuyafanya na nafasi yake katika kufikia lengo lako

 1. Easy Chopper

Hivi ni virutuvisho vilivyotengenezwa na Dr Nature vinalenga kukuongezea kasi ya wewe kufikia lengo lako..

 • Inapunguza hamu ya kula kula na kuongeza kasi ya mwili kuchoma mafuta.
 • Sio chungu wala sio ya Kuharisha!
 • Inawafaa sana hata wale ambao kwa sababu moja au nyingine wanashindwa kufanya mazoezi wala chakula hai.
 1. Usingizi

Kulala masaa 7 hadi 8 kila usiku ni silaha nzuri inayohubiriwa ili kufikia lengo lako kwa uzuri

 1. Mafunzo

Watu 3 kati ya 4 wanaopunguza uzito na kitambi huwa wanarudi hali zao za ubonge ndani ya mwezi 1 wa kufikia malengo yao.

Hii ni kwa sababu kutunza matokeo ya kuwa na uzito mzuri milele ni ‘Mtindo wa maisha’.. ni muhimu ujifunze jinsi ya kubadili unavyoishi iendane na matokeo unayoyataka.

Ndio maana ninatoa mafunzo ili kukusaidia kujua mambo yote yatakayokusaidia ubakie na uzito unaofaa milele katika maisha yako.

Dr Nature | ⁨0767 759 137⁩

Share
Scroll to Top