Binafsi huwa napenda kufuatilia tafiti na kujua undani wa vitu..
Katika suala la uzito mkubwa na kitambi, nimekuwa nikifuatilia na naendelea kufiatilia tafiti nyingi ili kujua undani wake na jinsi ninavyoweza kukusaidia.
Nimekutana na hiki kwenye mimea ambacho kinaweza kukufundisha kitu…
Ukichukua mimea inayofanana..
mfano ‘Mpapai’. Mmoja ukaukuza katika mazingira ya kivuli hadi utakavyozaa
Mwingine ukaukuza katika mazingira ya juani hadi utakapozaa mapapai…
‘Mbegu zake zitakuwa tofauti’
Mbegu za mpapai zilizotokana na mama aliyekulia juani, ukizipanda zitastawi zaidi katika mazingira ya jua..
Na zile za kivulini zitastawi zaidi kivulini…
Sio tu kwa mimea, inatokea pia hata kwa wanyama..
Mfano; mnyama aliyezaliwa sehemu yenye baridi kali na mwingine mazingira ya joto sana..
Kwenye ‘KITAMBI’ sasa…!
Nikisema kitambi namaanisha ‘obesity’ tumbo na uzito mkubwa
Pia vina mfano huu…
Kitambi wakati wa ujauzito kinamtengenezea mazingira mtoto kujakuwa kibonge katika maisha yake.
Hii haihusiani na uzito wakati wa kuzali..
Matokeo yake yanaonekana bila chenga mtoto anafikia ‘teenage’ miaka ya kumi na…
Na hii ndio mara nyingi watu wanasema
‘Uzito wa kurithi’
KWANINI…?
Hapo hakuna vinasaba yaani DNA vilivyobadilika ila kuna kitu kinaitwa ‘EPIGENETICS’..
Hivi sio vinasaba ila ni taarifa za ziada kwenye vinasaba..
Hivi vinaamua vinasaba aina fulani vifanye kazi au visifanye kazi.
Hivi vinaathiriwa na mazingira.. mfano chakula, jotoridi, homoni stress.. vinabadilika ili kiumbe aweze ku-adapt mazingira.
Na hivi mtoto anaweza akavipata kutoka kwa wazazi hasa mama.
Ni vizuri sana mama kama hujabeba mimba, punguza uzito na kitambi ili kumlinda mtoto wako na kazi kubwa baadaye..
Hata hivyo…
Hizi epigenetics unaweza ukazibadili.. japo utakuwa na kazi kubwa ya kufanya.
Ndio maana hata kwa kutumia program yangu ya kupunguza uzito na kitambi, watu mnatofautiana matokeo!
Lakini.. USIKATE TAMAA!
Utapungua tu.. japo ukaze zaidi kuliko wengine ambao huenda hawajarithi hizi epigenetics..
Inaamanisha wewe uhakikisha unafanya mambo yote kwa pamoja..
- Unatumia dawa ya EASY CHOPPER
- Unakula CHAKULA HAI
- Unafanya MAZOEZI
- UNALALA masaa 7 hadi 8 kila usiku.
Utafanikiwa!
Wako,
Dr Nature | +255767759137
Japo wote ni aina moja ‘species moja’ inamaanisha wanafanana vinasaba ‘DNA’
LAKINI.. wanajenga tabia tofauti za kuishi na kuyamudu mazingira kutokana na mazingira ya wazazi wao.