Jinsi AKILI Yako Inavyokuzuia Kupunguza Kitambi
Psychology ya uzito ni chanzo kikuu cha kitambi; badili akili yako kwanza, ndipo mwili utaanza kutii mabadiliko.
Jinsi AKILI Yako Inavyokuzuia Kupunguza Kitambi Read More »
Psychology ya uzito ni chanzo kikuu cha kitambi; badili akili yako kwanza, ndipo mwili utaanza kutii mabadiliko.
Jinsi AKILI Yako Inavyokuzuia Kupunguza Kitambi Read More »
Jinsi ya Kutumia “MAJI” Kwa Usahihi Kuchoma Mafuta (Punguza Uzito na Kitambi) Milele ….”Gundua Namna Sahihi Ya Kutumia Maji Kama Silaha Mojawapo Ya kupambana na uzito mkubwa Na Kitambi…..” Kunywa maji ya kutosha kila siku kunasaidia Kuchoma mafuta ya ziada mwilini. Na pia ni namna nzuri unayoweza kutumia kwa muda mrefu kutunza uzito wako kiafya Kivipi
Namna Sahihi Ya Kutumia “MAJI” Kuchoma Mafuta (Punguza Uzito na Kitambi) Read More »
Samaki na Dagaa hawana wanga wala sukari, je wanafaa katika safari ya kupunguza uzito na kitambi?
Samaki Na Dagaa Wanasaidia Kupunguza Uzito Mkubwa Na Kitambi Read More »
Mayai hayana wanga zinazoweza kukupatia shida ya uzito mkubwa na kitambi. Yanafaa Au Kutofaa Ukijua hili..
Naweza Kula Mayai Kupunguza Uzito na Kitambi Milele? Read More »
Mwezi September 2023 Brother mmoja miaka 32 anaitwa Nasibu Jr alijiunga na program yangu ya PERMANENT WEIGHTLOSS. Akaifanya kwa bidii kwa wiki 5. Kisha jioni moja ananipigia simu kunishukuru. Amekuwa akipambana na uzito mkubwa kwa miaka miwili. Uzito wake uliongezeka hadi kufikia 98kg lengo lake afike 65kg. Katika harakati zake za kutafuta mbinu alikuwa kwenye
Diet ya Nyama ‘KETOGENIC’ Ni Ergolytic? Read More »
MAZOEZI Yanayofaa Na MUDA Unaofaa Kufanya Ili Kupunguza UZITO Milele Huu ndio ushauri wa kwanza utausikia kwa kila mtu (ila sio mimi)… ‘Ukitaka kupunguza uzito au kitambi fanya mazoezi’ Hata hivyo mazoezi yanachangia asilimia 15% na matokeo yake ni yanategemea vitu vingi ambavyo nataka nikueleze Usinielewe vibaya.. mazoezi ni muhimu sana sio tu kwa ajili
MAZOEZI Haya Ndio Yanapunguza UZITO Read More »
Kwanini KUJINYIMA Chakula Sio Njia Nzuri ya Kupunguza Uzito na Kitambi Milele? Watu wengi huenda na wewe ni miongoni mwao wanaamini kuwa wamenenepa kwa sababu wamekula sana. Na hivyo ili wapungue walazimishe kupunguza kula (kiasi cha chakula)- ‘Washinde na njaa’ Siku zote, kitu kinachoweza kukupatia matokeo ya kudumu ya kupunguza uzito mkubwa lazima kiwe na
Kwanini KUSHINDA NJAA Sio Njia Nzuri Kupunguza Uzito Milele? Read More »
Parachichi kama ilivyo vyakula hai vingine vinaufanya mwili uwe na afya njema kwa ujumla. Matumizi ya chakula hai yanakusaidia kuwa na mwili wako katika ubora zaidi. Ikiwa umedhoofu umekuwa na uzito mdogo sana inakusaidia kukuongezea uzito ufikie uzito unaokustahili. Nimeona kwa wagonjwa kama wagonjwa kisukari waliokuwa wamekonda kwa sababu ya ugonjwa wametumia parachichi miongoni mwa
Parachichi ‘Ovacado’ Inanenepesha? Read More »
Mwongozo wa lishe haujawahi kuwa rahisi kama hivi.. Maelfu ya watu wenye magonjwa na malengo mbalimbali ya kiafya wamefuata namna hii rahisi ya kula na matokeo yake ni kama muujiza! Mbali na kutibu mamia ya magonjwa ambayo vinginevyo hayatibiki au yangekughalimu mamilion kutibu, aina hii ya kula itakusaidia kuongeza kasi ya mwili kuchoma mafuta, kuondoa
Chakula Hai – Mwongozo wa Tiba Lishe (+Ratiba ya Siku 7) Read More »