Seli shina ni jina lingine la SELI MAMA..
Ili uelewe vizuri, jifikirie wewe uliye na trioni 75-100 za seli lakini umetokana na seli moja tu baada ya mbegu ya baba na yai la mama kukutana.
Kutoka kwenye hiyo seli moja unapata matrioni ya seli ambayo yanaunda viungo na mwili kwa ujumla.
Kila siku seli zinakufa na seli zinazaliwa ili kufidia zile zilizokufa ili maisha yako yaendelee..
Seli zinazozaliwa zinatokana na seli shina zinazohusika na kutengeneza seli husika.
Kadri umri unavyosonga UBORA na WINGI wa seli shina za mtu zinapungua.
Matokeo yake viungo na tishu za mwili zinakuwa zinaharibika kwa kasi kuliko uwezo wa mwili kurudishia seli hai.
Ikiwa uharibifu wa seli unatokea kwenye macho, magonjwa ya macho ya kila aina yanatokea.
Endapo mtu seli shina zake zikiwezeshwa akawa nazo nyingi zinazofanya kazi vizuri..
Na kupona ugonjwa wa macho haraka sana!
Kwa miaka mingi imebaki kuwa fumbo, utaalamu wa kupata seli shina kirahisi.
Utaalaamu uliokuwepo ilikuwa mtu lazima apate seli shina kutoka kwa mtu mwingine.. matibabu ambayo ni ghali sana na ya hatari
Wengi wetu ni suala ambalo hatuwezi hata kuliwaza, haliwezekani.
Mageuzi katika sayansi katika karne ya 21 yamegundua jinsi ambavyo SELI SHINA za baadhi ya MIMEA zinaweza kuleta matokeo yale yale..
Tena
- Gharama yake sio kubwa
- Hazina kumkataa mtu kwamba amepata rejection kuwa haziendani na mwili
- Mtu yeyote anaweza kupata na kutumia bila masharti
Seli Shina hizi zinafanya kazi zifuatazo kwenye macho;
1. Zinaufanya mwili kuwa na seli shina kwa wingi zenye ubora na hivyo macho yanaweza kujitengeneza upya..
2. Zinahuisha seli ziweze kufanya kazi yake kwa mpangilio unaotakiwa.
Zile seli ambazo zimenyong’onyea kwa sababu ya mtindo mbaya wa maisha inazifufua zifanye kazi vizuri
3. Zina RUTUBISHA
Kwahiyo seli za macho zinapata virutibisho zinavyovihtaji kufanya kazi yake
4. Zinatiba Magonjwa Mengine
Seli shina zinatibu kabisa kisukari na presha na madhara yake. Sio kutuliza, kutibu moja kwa moja.
Na hivyo Magonjwa kama presha ya macho na mtoto wa jicho nayo yanapona.
Matumizi
Seli shina zinatumika kwa kuweka chini ya ulimi kwahiyo sio ya kunywa wala ya kumeza.