Kitambi

Permanent Weightloss – Maelezo

PERMANENT WEIGHTLOSS Hii ni program iliyoanzishwa na kuendeshwa na Dr Nature, inayokusaidia kupuguza uzito mkubwa na kitambi kiafya milele (kwa namna ambayo ni endelevu) FAIDA ZAKE INAFANYIKAJE? Kuna mambo 5 unatakiwa kuyafahamu: Hapa unajifunza jinsi ya kuchagua, kuandaa na kupangilia chakula kinachotokana na mimea kwa uasili wake. Utakula wingi wa matunda, mbogamboga, nafaka nzima, njugu

Permanent Weightloss – Maelezo Read More »

Usiyachagulie Mafuta Pakutoka – Acha Asili Ikutengeneze

Njia salama ya kuondoa mafuta ya mwili ni kuyaacha yaondoke kama yalivyokuja.. Ni changamoto sana kupunguza sehemu fulani tu ya mwili na ukajichagulia sehemu zingine zisipungue. Mfano, Kinachofuata ni kufanya mazoezi sana ya tumbo au kushinda na mkanda wa tumbo ila usitegemee utafanikiwa.. Mwili ndio unapangilia jinsi ya kutunza mafuta na jinsi ya kuyachoma.. Kama

Usiyachagulie Mafuta Pakutoka – Acha Asili Ikutengeneze Read More »