Dr Nature

Upimaji wa Vinasaba DNA: Utaratibu na Gharama Zake Tanzania

DNA, au vinasaba, ni molekuli yenye umuhimu mkubwa katika viumbehai, ikifanya kama msimamizi wa habari jenetiki ambayo hupitisha taarifa muhimu kwa kizazi kinachofuata. Upimaji wa DNA, ambao ni mchakato wa kutambua, kuchambua, na kuelewa sehemu mbalimbali za molekuli hii, umekuwa msingi wa mapinduzi katika sayansi, tiba, na hata katika maisha ya kila siku. Umuhimu wa

Upimaji wa Vinasaba DNA: Utaratibu na Gharama Zake Tanzania Read More »

Faida, Madhara na Mbadala wa ASPRIN Kwa Magonjwa ya Moyo

Salicylic acid ni kiambata muhimu zaidi kwenye aspin. Imetumika kwa mamia ya miaka kwa ajili ya kuzima mioto ‘anti-inflamatory’ na kutuliza maumivu kwa wakati mmoja. Historia inaonesha Hippocrates (tabibu mhenga wa kiyunani aliyeishi Kabla ya Kristo) alitumia salicylic acid kutoka kwenye magome ya mti wa willow kutibu homa na maumivu wakati wa kujifungua. Toka mwaka 1899 huenda hadi leo, asprin

Faida, Madhara na Mbadala wa ASPRIN Kwa Magonjwa ya Moyo Read More »

Diet ya Nyama ‘KETOGENIC’ Ni Ergolytic?

Mwezi September 2023 Brother mmoja miaka 32 anaitwa Nasibu Jr alijiunga na program yangu ya PERMANENT WEIGHTLOSS. Akaifanya kwa bidii kwa wiki 5. Kisha jioni moja ananipigia simu kunishukuru. Amekuwa akipambana na uzito mkubwa kwa miaka miwili. Uzito wake uliongezeka hadi kufikia 98kg lengo lake afike 65kg. Katika harakati zake za kutafuta mbinu alikuwa kwenye

Diet ya Nyama ‘KETOGENIC’ Ni Ergolytic? Read More »

Jinsi ya Kupunguza Kalori Bila Kujinyima Chakula

Jinsi ya Kupunguza Kalori Bila Kujinyima Chakula Tabibu mmoja aliwahi kusema ‘’Aliyekula hadi akaugua inatakiwa kufunga hadi apone’’. Ukiwa na kitambi au uzito mkubwa ni matokeo ya kulundikana kwa ziada ya chakula katika namna ya mafuta. Kufunga ni salaha nzuri ya kukusaidia kuufanya mwili utumie hifadhi hiyo ya chakula iliyopo mwilini tayari. Unapopambana na kupunguza

Jinsi ya Kupunguza Kalori Bila Kujinyima Chakula Read More »

Kwanini KUSHINDA NJAA Sio Njia Nzuri Kupunguza Uzito Milele?

Kwanini KUJINYIMA Chakula Sio Njia Nzuri ya Kupunguza Uzito na Kitambi Milele? Watu wengi huenda na wewe ni miongoni mwao wanaamini kuwa wamenenepa kwa sababu wamekula sana. Na hivyo ili wapungue walazimishe kupunguza kula (kiasi cha chakula)- ‘Washinde na njaa’ Siku zote, kitu kinachoweza kukupatia matokeo ya kudumu ya kupunguza uzito mkubwa lazima kiwe na

Kwanini KUSHINDA NJAA Sio Njia Nzuri Kupunguza Uzito Milele? Read More »

Share
Scroll to Top