Jinsi ya Kutibu Crohn’s Disease Kwa Chakula
Ugonjwa wa Crohn ni ugonjwa wa tumbo ambao huleta – Maumivu ya tumbo – Kuharisha – kupungua uzito – damu kwenye kinyesi Huu ni ugonjwa sugu unaweza kumletea mgonjwa mateso makubwa. Lakini kuna habari njema – tafiti zinaonyesha kuwa lishe sahihi inaweza kusaidia sana katika kupunguza dalili, na hata kupelekea uponyaji wa kudumu. Watu wengi […]
Jinsi ya Kutibu Crohn’s Disease Kwa Chakula Read More »