Naweza Kula Mayai Kupunguza Uzito na Kitambi Milele?
Mayai hayana wanga zinazoweza kukupatia shida ya uzito mkubwa na kitambi. Yanafaa Au Kutofaa Ukijua hili..
Naweza Kula Mayai Kupunguza Uzito na Kitambi Milele? Read More »
Mayai hayana wanga zinazoweza kukupatia shida ya uzito mkubwa na kitambi. Yanafaa Au Kutofaa Ukijua hili..
Naweza Kula Mayai Kupunguza Uzito na Kitambi Milele? Read More »
PERMANENT WEIGHTLOSS Hii ni program iliyoanzishwa na kuendeshwa na Dr Nature, inayokusaidia kupuguza uzito mkubwa na kitambi kiafya milele (kwa namna ambayo ni endelevu) FAIDA ZAKE INAFANYIKAJE? Kuna mambo 5 unatakiwa kuyafahamu: Hapa unajifunza jinsi ya kuchagua, kuandaa na kupangilia chakula kinachotokana na mimea kwa uasili wake. Utakula wingi wa matunda, mbogamboga, nafaka nzima, njugu
Permanent Weightloss – Maelezo Read More »
Lipoma ni nini na inahusianaje na uzito mkubwa? Lipoma ni uvimbe unaotokea kwenye seli za mafuta kwa kawaida unatokea chini ya ngozi. Uvimbe huu huwa sio saratani na huwa hauna maumivu. Aina hii ya uvimbe huwa haileti madhara kwenye afya mtu anaweza kuishi nayo kwa muda Isipokuwa kama uvimbe utakuwa mkubwa sana (kulingana pia na
Lipoma Ni Nini Na Inahusianaje Na Uzito Mkubwa Read More »
Huu ndio ushauri wa kwanza utausikia kwa kila mtu (ila sio mimi)… ‘Ukitaka kupunguza uzito au kitambi fanya mazoezi’ Hata hivyo mazoezi yanachangia asilimia 15% na matokeo yake ni yanategemea vitu vingi ambavyo nataka nikueleze Usinielewe vibaya.. mazoezi ni muhimu sana sio tu kwa ajili ya kuchoma mafuta bali kwa ajili ya kujenga afya kwa
Jinsi ya Kutumia Mazoezi Kupunguza Uzito Milele Read More »
Najua umejaribu njia nyingi kupunguza uzito. Lakini kama hujafanya hii huenda ukajuta kwa nini hujaanza miezi 6 iliyopita.
Njia ya KUPUNGUZA UZITO na KITAMBI Rahisi, Salama na Ufanisi 100% Ni Hii.. Read More »
Jibu ni NDIO chumvi Inanenepesha.. kwa namna ifuatayo
Chumvi Inanenepesha? Read More »
Mama K anaruhusiwa kufanya yo-yo-h diet kwa ajili ya kupunguza uzito?
Mjamzito Anaruhusiwa Kufanya Diet? Read More »
Sio imani, unaweza kurithi uzito mkubwa na kitambi mwa wazazi hasa mama. Hivi ndivyo inavyokua..
Uzito Wa Kurithi: Jifunze Kupitia Mimea Iliyokuzwa Kivulini na Juani… Read More »
Unatamani kunywa dawa fulani ya maajabu, ukilala ukiamka umekuwa misss.. hii ni hasara yake, na kiasi unachotakiwa kwa wiki.
Hasara Ya Kupunguza Uzito Kwa Kasi, Na Kiasi Kinachotakiwa Read More »
Kuna umuhimu mkubwa wa kujua muda wa kula kama ilivyo kujua aina ya chakula.
Kwanini Ule Kabla Ya Saa 2 Usiku Ili Kupunguza Uzito Milele.. Read More »