chakula hai

Kula Kulingana na Kundi la Damu – Kuna Faida Yoyote?

TULE KULINGANA NA MAKUNDI YA DAMU? Hii nadharia alianzisha na baadhi ya wataalamu wa tiba asili na kuungwa mkono na wataalamu wengine baadaye. Unafahamu mara nyingi wataalamu wa tiba asili hawategemei sana sayansi, wanategemea kile ambacho kina leta majibu na vile mtaalamu atakavyowaza inafaa au kilichozoeleka kuwa kinasaidia. Lakini katika ulimwengu wa sasa tunataka ushahidi […]

Kula Kulingana na Kundi la Damu – Kuna Faida Yoyote? Read More »

Permanent Weightloss – Maelezo

PERMANENT WEIGHTLOSS Hii ni program iliyoanzishwa na kuendeshwa na Dr Nature, inayokusaidia kupuguza uzito mkubwa na kitambi kiafya milele (kwa namna ambayo ni endelevu) FAIDA ZAKE INAFANYIKAJE? Kuna mambo 5 unatakiwa kuyafahamu: Hapa unajifunza jinsi ya kuchagua, kuandaa na kupangilia chakula kinachotokana na mimea kwa uasili wake. Utakula wingi wa matunda, mbogamboga, nafaka nzima, njugu

Permanent Weightloss – Maelezo Read More »

Lipoma Ni Nini Na Inahusianaje Na Uzito Mkubwa

Lipoma ni nini na inahusianaje na uzito mkubwa? Lipoma ni uvimbe unaotokea kwenye seli za mafuta kwa kawaida unatokea chini ya ngozi. Uvimbe huu huwa sio saratani na huwa hauna maumivu. Aina hii ya uvimbe huwa haileti madhara kwenye afya mtu anaweza kuishi nayo kwa muda Isipokuwa kama uvimbe utakuwa mkubwa sana (kulingana pia na

Lipoma Ni Nini Na Inahusianaje Na Uzito Mkubwa Read More »