Kwanini KUSHINDA NJAA Sio Njia Nzuri Kupunguza Uzito Milele?
Kwanini KUJINYIMA Chakula Sio Njia Nzuri ya Kupunguza Uzito na Kitambi Milele? Watu wengi huenda na wewe ni miongoni mwao wanaamini kuwa wamenenepa kwa sababu wamekula sana. Na hivyo ili wapungue walazimishe kupunguza kula (kiasi cha chakula)- ‘Washinde na njaa’ Siku zote, kitu kinachoweza kukupatia matokeo ya kudumu ya kupunguza uzito mkubwa lazima kiwe na […]
Kwanini KUSHINDA NJAA Sio Njia Nzuri Kupunguza Uzito Milele? Read More »