Permanent Weightloss

Permanent Weightloss – Maelezo

PERMANENT WEIGHTLOSS Hii ni program iliyoanzishwa na kuendeshwa na Dr Nature, inayokusaidia kupuguza uzito mkubwa na kitambi kiafya milele (kwa namna ambayo ni endelevu) FAIDA ZAKE INAFANYIKAJE? Kuna mambo 5 unatakiwa kuyafahamu: Hapa unajifunza jinsi ya kuchagua, kuandaa na kupangilia chakula kinachotokana na mimea kwa uasili wake. Utakula wingi wa matunda, mbogamboga, nafaka nzima, njugu […]

Permanent Weightloss – Maelezo Read More »

Usiyachagulie Mafuta Pakutoka – Acha Asili Ikutengeneze

Njia salama ya kuondoa mafuta ya mwili ni kuyaacha yaondoke kama yalivyokuja.. Ni changamoto sana kupunguza sehemu fulani tu ya mwili na ukajichagulia sehemu zingine zisipungue. Mfano, Kinachofuata ni kufanya mazoezi sana ya tumbo au kushinda na mkanda wa tumbo ila usitegemee utafanikiwa.. Mwili ndio unapangilia jinsi ya kutunza mafuta na jinsi ya kuyachoma.. Kama

Usiyachagulie Mafuta Pakutoka – Acha Asili Ikutengeneze Read More »

Lipoma Ni Nini Na Inahusianaje Na Uzito Mkubwa

Lipoma ni nini na inahusianaje na uzito mkubwa? Lipoma ni uvimbe unaotokea kwenye seli za mafuta kwa kawaida unatokea chini ya ngozi. Uvimbe huu huwa sio saratani na huwa hauna maumivu. Aina hii ya uvimbe huwa haileti madhara kwenye afya mtu anaweza kuishi nayo kwa muda Isipokuwa kama uvimbe utakuwa mkubwa sana (kulingana pia na

Lipoma Ni Nini Na Inahusianaje Na Uzito Mkubwa Read More »

Jinsi ya Kutumia Mazoezi Kupunguza Uzito Milele

Huu ndio ushauri wa kwanza utausikia kwa kila mtu (ila sio mimi)… ‘Ukitaka kupunguza uzito au kitambi fanya mazoezi’ Hata hivyo mazoezi yanachangia asilimia 15% na matokeo yake ni yanategemea vitu vingi ambavyo nataka nikueleze Usinielewe vibaya.. mazoezi ni muhimu sana sio tu kwa ajili ya kuchoma mafuta bali kwa ajili ya kujenga afya kwa

Jinsi ya Kutumia Mazoezi Kupunguza Uzito Milele Read More »

Namna Bora ya Kuandaa Mbogamboga

NAMNA BORA YA KUANDAA MBOGAMBOGA.. Tunachokitafuta kwenye mbogamboga ni ‘virutubisho’ Iwe unakula mbichi kama ‘saladi/kachumbari’, juisi au mboga za kupika. Ili kupata faida zote, kila aina ya mboga kuna aina yake ya kuandaa kuvuna faida (virutubisho) vingi.. Kila aina ya mboga ina aina yake ya kuandaa ili kuvuna faida zaidi.. Kuna zingine unaweza ukala mbichi

Namna Bora ya Kuandaa Mbogamboga Read More »