Dr Nature

Jinsi ya Kutumia Mazoezi Kupunguza Uzito Milele

Huu ndio ushauri wa kwanza utausikia kwa kila mtu (ila sio mimi)… ‘Ukitaka kupunguza uzito au kitambi fanya mazoezi’ Hata hivyo mazoezi yanachangia asilimia 15% na matokeo yake ni yanategemea vitu vingi ambavyo nataka nikueleze Usinielewe vibaya.. mazoezi ni muhimu sana sio tu kwa ajili ya kuchoma mafuta bali kwa ajili ya kujenga afya kwa …

Jinsi ya Kutumia Mazoezi Kupunguza Uzito Milele Read More »

Namna Bora ya Kuandaa Mbogamboga

NAMNA BORA YA KUANDAA MBOGAMBOGA.. Tunachokitafuta kwenye mbogamboga ni ‘virutubisho’ Iwe unakula mbichi kama ‘saladi/kachumbari’, juisi au mboga za kupika. Ili kupata faida zote, kila aina ya mboga kuna aina yake ya kuandaa kuvuna faida (virutubisho) vingi.. Kila aina ya mboga ina aina yake ya kuandaa ili kuvuna faida zaidi.. Kuna zingine unaweza ukala mbichi …

Namna Bora ya Kuandaa Mbogamboga Read More »

Share
Scroll to Top