Parachichi ‘Ovacado’ Inanenepesha?
Parachichi kama ilivyo vyakula hai vingine vinaufanya mwili uwe na afya njema kwa ujumla. Matumizi ya chakula hai yanakusaidia kuwa na mwili wako katika ubora zaidi. Ikiwa umedhoofu umekuwa na uzito mdogo sana inakusaidia kukuongezea uzito ufikie uzito unaokustahili. Nimeona kwa wagonjwa kama wagonjwa kisukari waliokuwa wamekonda kwa sababu ya ugonjwa wametumia parachichi miongoni mwa […]
Parachichi ‘Ovacado’ Inanenepesha? Read More »