Blog

Tiba Ya Milele Ya Upungufu Wa Nguvu Za Kiume (Hizi Ni Mbinu Za Siri)

Hi.. Leo ni siku ya kuelekezana moja mbili za kuimarisha ndoa zetu. Maana bila unyumba ndoa ipo mashakani.. Sio tu ndio kuwa mashakani inaleta msongo mkubwa wa mawazo inaweza ikapelekea mwanaume kushindwa kufanya kazi zako na stress kuwa kubwa zaidi.. Wengine wanafikia hata kuwa na mawazo ya kujiua kwa sababu ya titizo hilo kwa sababu …

Tiba Ya Milele Ya Upungufu Wa Nguvu Za Kiume (Hizi Ni Mbinu Za Siri) Read More »

Kula Kulingana na Kundi la Damu – Kuna Faida Yoyote?

TULE KULINGANA NA MAKUNDI YA DAMU? Hii nadharia alianzisha na baadhi ya wataalamu wa tiba asili na kuungwa mkono na wataalamu wengine baadaye. Unafahamu mara nyingi wataalamu wa tiba asili hawategemei sana sayansi, wanategemea kile ambacho kina leta majibu na vile mtaalamu atakavyowaza inafaa au kilichozoeleka kuwa kinasaidia. Lakini katika ulimwengu wa sasa tunataka ushahidi …

Kula Kulingana na Kundi la Damu – Kuna Faida Yoyote? Read More »

Permanent Weightloss – Maelezo

PERMANENT WEIGHTLOSS Hii ni program iliyoanzishwa na kuendeshwa na Dr Nature, inayokusaidia kupuguza uzito mkubwa na kitambi kiafya milele (kwa namna ambayo ni endelevu) FAIDA ZAKE INAFANYIKAJE? Kuna mambo 5 unatakiwa kuyafahamu: Hapa unajifunza jinsi ya kuchagua, kuandaa na kupangilia chakula kinachotokana na mimea kwa uasili wake. Utakula wingi wa matunda, mbogamboga, nafaka nzima, njugu …

Permanent Weightloss – Maelezo Read More »

Usiyachagulie Mafuta Pakutoka – Acha Asili Ikutengeneze

Njia salama ya kuondoa mafuta ya mwili ni kuyaacha yaondoke kama yalivyokuja.. Ni changamoto sana kupunguza sehemu fulani tu ya mwili na ukajichagulia sehemu zingine zisipungue. Mfano, Kinachofuata ni kufanya mazoezi sana ya tumbo au kushinda na mkanda wa tumbo ila usitegemee utafanikiwa.. Mwili ndio unapangilia jinsi ya kutunza mafuta na jinsi ya kuyachoma.. Kama …

Usiyachagulie Mafuta Pakutoka – Acha Asili Ikutengeneze Read More »

Kutoka Kusimamisha Uume Kwa Dakika 2 Hadi 40..!!

Asubuhi Hii Nimefurahishwa na Huu Ujumbe..⏬️ Amenitumia Mr. A.J (nimeficha utambulisho wake) Habari doctor, unaendeleaje na kazi, Mungu akupe maisha marefu sana Doctor. Nimekwandikia ujumbe huu kama shukran kwako, Leo ni wiki ya tatu tangu umenitumia kitabu Cha MADHARA YA PUNYETO , lkn nimeona maajabu makubwa. Nimefanya kitendo Cha kujichua miaka mitatu, lkn nataka kukuhakikishia …

Kutoka Kusimamisha Uume Kwa Dakika 2 Hadi 40..!! Read More »

Jinsi ya Kutumia Mazoezi Kupunguza Uzito Milele

Huu ndio ushauri wa kwanza utausikia kwa kila mtu (ila sio mimi)… ‘Ukitaka kupunguza uzito au kitambi fanya mazoezi’ Hata hivyo mazoezi yanachangia asilimia 15% na matokeo yake ni yanategemea vitu vingi ambavyo nataka nikueleze Usinielewe vibaya.. mazoezi ni muhimu sana sio tu kwa ajili ya kuchoma mafuta bali kwa ajili ya kujenga afya kwa …

Jinsi ya Kutumia Mazoezi Kupunguza Uzito Milele Read More »

Namna Bora ya Kuandaa Mbogamboga

NAMNA BORA YA KUANDAA MBOGAMBOGA.. Tunachokitafuta kwenye mbogamboga ni ‘virutubisho’ Iwe unakula mbichi kama ‘saladi/kachumbari’, juisi au mboga za kupika. Ili kupata faida zote, kila aina ya mboga kuna aina yake ya kuandaa kuvuna faida (virutubisho) vingi.. Kila aina ya mboga ina aina yake ya kuandaa ili kuvuna faida zaidi.. Kuna zingine unaweza ukala mbichi …

Namna Bora ya Kuandaa Mbogamboga Read More »

Share
Scroll to Top